Enzi za kusolve fake......!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salam wakuu,
Leo nimekaa home ghafla nikakumbuka miaka ya nyuma olevo enzi za kusolve fake. Unakuta necta inakaribia halafu anatokea mtu anaeaambia "Mali" ya somo Fulani anayo, anauza kwa Tshs.X/= halafu wana wanajichanga wanaenda kununua na kuisolve . Sitasahau mwanangu Suleiman Ngh'umbi alitoa laki akanunua fake ya maths akaja nayo home tuisolve enzi hizo makongo secondary,mimi naishi Kota Lugalo area C. Jamaa akaja na mzigo tukawa tunasolve Ila mwenzie nikawa nafanya Kama revision tu maana contemporary nilikua nayo nshasolve sana.
Watu walikua wanatafuta hadi fake za practical wakati mtu unajua kabisa kama Ni physics basi kama sio glass block itakua ni simple pendulum Bob kuprove G = 9.8N/Kg au kama Ni Bios logos basi kiazi kinahusika au kemia basi litmus pepa muhimu.
Anyways, maisha yanaenda kasi Sana. Nowdays watoto wanaingia hadi na smartwatch kwenye pepa anaibia lonja tu.
 
Week na matokeo yenu hapa
 
Umenikumbusha mambo ya simple pendulum na jaman angle of reflect sijui ...arghh...
 
2016 jamaa kutoka karatu sec alituset kuwa anakitu cha pure math, tukajichanga mimi na mshikaji, jamaa akatuambia kitu kitatoka usiku wa kuamkia pepa j3 .So hatukusoma kabisa tukiisubir .Tulikaa tunasubiri hadi saa 6 usiku ,jamaa akatuma sms kuwa tusubiri tena hadi 9 usiku, kufika kwenye muda wa kumi kasoro anatutumia sms kuwa imeshindikana aloo tulichoka,
Kwenye muda wa saa 11 asubuh jamaa mwingine wa tabora boys akatutumia pepa nguumu balaa haisoviki kabisaa nilipiga goti chini nikaomba nikasema ee mungu nikute pepa nyingine maana nikiikuta hii napata sifuri.
 
Hahaha, pure noma mkuu. Ulikutana na pepa Nyeusi Kama kitabu Cha tranter
 
Dah umenikumbusha mbali sana, O level ilivuja paper ya Bios sasa watu wakawa wananitafuta kwa siri niwasaidie kusolve ajabu nilitafutwa zaidi ya watu watano na wote wana paper tofauti , vizuri nilisolve paper nyingi sana yaani nilisolve paper za kuanzia mwaka 1987 mpaka 2004 ingawa sikua napata za miaka zote ila nyingi nilizipitia hivyo paper za kuvuja nilikua nawaambia kabisa hii ya mwaka flani wamebadilisha tu tarehe achana nayo.
Mwisho wa siku moja ilikua ya kweli ila ujinga wa wanafunzi sasa tumeingia darasani imesambazwa tu mjinga mmoja akapaza "ndilo lenyewe" hapo hapo wote tukasimama na likabadilishwa lingine utoto mbaya.
Physics huko ilikua vifaa unagusa tu kupenda njia zote ziko kichwani .

A level walimu ndio walizingua, nilikutana na prac 2008 niko PCB pale Tosa,mwalimu kaambiwa aweke chemical iliyo at 100 degrees kisha unapima muda inaotumia kupoa sasa ajabu sample yenyewe tu ukiichukua ilikua inasoma 80 degrees na point
 
Sasa mtu alikuwa hasomi hata hiyo siku ya mwisho ataelewa nini? Mlikuwa mnapoteza muda tu
 
Hahahaha, eti "ndio lenyewe"
 
Kanyaboya(tulikuwa tunaiita possible hivi Olevel)

Sikuwahi kubahatisha kanyaboya real(Olevel na Advance) kwa upande wa theory ingawa nilisolve sana hizo kanyaboya. Kilichokuwa kinanibeba ni kutoziamini na kusoma mengine kwa bidii.

Kwenye practical ilikuwa ni kuteleza tu maana Walimu walikuwa wanatufundisha mule mule kwa mujibu wa confidential
 
Back
Top Bottom