Maisha ya mpira mabaya sana Tanzania, siku hizi Zamoyoni unamkuta anashinda kijiweni na miwani mikubwa anaganga njaa pale Hadees Posta Mpya kwa Kassim Dewji, wakati in real footballing world ya leo baada ya kutandika daluga alitakiwa muda huu awe ana many investments anasimamia. Pengine wakati wao hawakuwa na washauri wazuri.