Enzi hizoooo, kumbe Jamaa kaanzia mbali

hivi hao wa pembeni sio waliompindua kweli?
 
Halafu namna hii umpindue kirahisi rahisi...
 
enzi hizo za Tupac kila kijana alipagawa nae,hiyo miaka ya 90,wewe ulikua bado unanyonya.
Muulize Tupac nilikuwa wapi siku ile alipo toana maneno na Biggie pale Kings County, ndio utafahamu kuwa unaongea na Baba yako. Halafu muulize kwanini Run DMC especially DJ Run alikataa kufanya ile scratch pale Midtown.
 
ha ha ha,pastor kumbe na wewe umo eh........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…