The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,226
Wasiokuwa na ndoa wakatoe wapi ugumu wao? Asie halali kwa mtu ni ndugu wa nasaba moja na wazazi, kinyume na hapo as long as ana jinsia kinyume na muhusika basi huyo ni halali.Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.
Itakuwa ni aidha story ya kusadikika ama haijatokea Tz hii. Iwe itakavyokuwa, huyo muuaji akitaka kukata mzizi wa fitina amuue mkewe ambae ndio chimbuko la usaliti.Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.
uzinziUzinzi ni nini?
Naichukua hiiKwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Romans 6:23
Dhambi yoyote ile mwisho wake sio mzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya sawa...
Cha msingi mwambie mkeo atosheke na kile unachompea,aridhike nawe vile ulivyo....maana asipoacha tamaa ya dudu na pesa...atatombwer tu.
Sawa bhana kula maisha lakini kumbuka jehanamu inakuhusu Ufunuo 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. Bora uutafute uzima wa milele kuliko kufurahia maisha ya mda kitambo then unakufa unaenda motoni utafteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine yote mtayapata kwa ziadaHalali ni kitu ulichokipata kwa haki, bila kutumia nguvu ama kumdhulumu mtu. Sasa nimetongoza mwanamke, kwa hiyari yake akanikubalia unasemaje sio halali?
Ni nani kasema kwamba nikiwa na mwanamke, sitakiwi kuomba kua na mwanamke mwingine kwa hiyari yake mwenyewe?
Acha watu wale maisha.
"Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao"???Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.
Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.
Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.
Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.
Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.
Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.
Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.
Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
In a real sense shida ni kutokuwa na uwezo wa kudhibiti hisia( weak emotional inteligence,EIQ).Uzinzi ni nini?