Enyi Watumishi wa Mungu Rais Magufuli hana dhambi yakutubu 1Samw8:4-22

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,189
11,222
Historia inatumbia hapo mwanzo wanadam walikuwa chini ya maongozo ya Mungu na lakini baadae watu walitaka kutawaliwa na wafalme na hapa ndipo ukweli wa serikali umelala.
Ukioma paragrafu hizo zote ktk kitabu cha samweli kamwe hutopoteza muda kumshutumu kiongoz wa taifa nakumwambia atubu...
Nilazima ujiulize atubu nini? Mungu mwenyewe alisha tuwasa kupitia israel athari zakuwa na viongozi wa dunia na sio yeye.. Rais ana tawala kila kitu nimtu mkubwa sana na hatuwezi kumbeza na huu ndio ukweli.. Wakati viongoz wa dini wanapiga kelele juu ya Rais wetu nilazima wakumbuke na wao kuwa kama Magufuli angefuwa ile sheria pia vichwa vyao ni halali yake why very simple ni hiki kitabu..
Daud ktk Bible alimuuwa Uria kwasababu yamke wake. Uria alikuwa na mke mzuri sana lakini ilikuwa vigumu kwa Daud kumchukuwa hivyo Uria alipelekwa mbele vitani akafa na Daud akamchukuwa mke..
Huyu Daud ni mtu anatajwa madhabahuni kwa asilimia 99% lakini alikuwa mtu mbaya na alie uwa maelfu mpaka Mungu mwenyewe anasema akamwambia hatojenga hekalu lake kwa sababu ya dam alikuwa kamwaga.

Hiki kimetokea hapa kwetu nibora tunyamaze maana Rais wetu hajafanya bado yale tumetahadharishwa kwenye hiki kitabu. Rais wetu uwenda akawa mtakatifu maana bado ajafanya mengi ya yale Mungu aliwaonya israel juu ya wafalme.

Rais ni mtu mwenye mamlaka makubwa sana. Mamlaka yake haikosolewi kama vile akina lisu na wenzake walikuwa wanafanya. Rais hakosolewi kwa kauli zinataka kuligawa taifa ama kuleta Hali ya utawala kudharaulika.. Nahii ipo very clear kwenye miongoz ya utawala na mambo ya kiusalama.. Pia sheria imeenda mbali nakuwapa ruhusa watu mambo yakiusalama kumaliza kaz pindi kunawasaliti ndani ya serikali na nje pia.

Hii sio kwa tanzania tu but all ober the world...
Kama mtakumbuka Marekani kipindi cha Obama alikufa mtu muhimu sana ndani ya white house na kifo chake kilikuwa kugongwa na gari... No one comment ila maswali ni mengi....
Sio tu kifo hicho kunavifo vimetokea vyakutisha sana lakini hakuna mtu amewahi kuvijadili..

Kupigwa Risasi ambapo Lissu anatuaminisha serikali nivyema akatoa pia siri zote alizokuwa akiambiwa na maafisa usalama ili tuamini serikali inahusika kitendo chakumshambulia Rais bila kuwa na data ni jambo lakifedhuli nakuikosea serikali nakuziona mamlaka zote hazifanyi kazi yake vizuri..
Kwangu siku zote najiuliza swali gumu why Rais aruhusu kumpiga risasi while we have soo smary vikosi vyakumaliza watesi wa Serikali? Why Mh Rais atumie risasi...

Hi guys tuna sumu mtu wala hapigi chafya kwaheri...
Tunasumu mtu anakufa polepole yani tena kwa maleria au cancer yani no need yahizi purukushani... Kweli tunapoteza muda kwa vitu hatuna data...

Mmesahau Russia walivyo muuwa afisa usalama wao mpaka UK wakakesha kutafuta ant dot mpaka leo manyoya
Alafu mnasema nini taifa letu lina wasomi maelfu from russia why wampe ujiko huyu mtu kwa kumpiga risasi. Hivi ujuwi kifo cha risasi ni kifo cha kishujaa ina maana Lisu ni shujaa kindly give me a break.... Angemzuwia Lowasa mlangoni shame on ye team chadema

Pia kama basi kweli Tundu lisu atakuwa kunakitu anakijuwa na zile risasi anajuwa dhambi yake stop....
 
Nani alimpiga Lisu risasi, nani alimuua Ben, nani amemuua Azory, sandarusi baharini ni za nani?
Kuna watu watakwenda ICC, it is only a matter of time.
 
Binadamu wore bwana dhambi tena wamepungukiwa na utukufu wa Mungu. Inaonheza tukisema hatuna dhambi twajidanganya ila tukiziungama dhambi zetu yeye ni mwaminifu hata kuziondoa kabisa
 
Historia inatumbia hapo mwanzo wanadam walikuwa chini ya maongozo ya Mungu na lakini baadae watu walitaka kutawaliwa na wafalme na hapa ndipo ukweli wa serikali umelala.
Ukioma paragrafu hizo zote ktk kitabu cha samweli kamwe hutopoteza muda kumshutumu kiongoz wa taifa nakumwambia atubu...
Nilazima ujiulize atubu nini? Mungu mwenyewe alisha tuwasa kupitia israel athari zakuwa na viongozi wa dunia na sio yeye.. Rais ana tawala kila kitu nimtu mkubwa sana na hatuwezi kumbeza na huu ndio ukweli.. Wakati viongoz wa dini wanapiga kelele juu ya Rais wetu nilazima wakumbuke na wao kuwa kama Magufuli angefuwa ile sheria pia vichwa vyao ni halali yake why very simple ni hiki kitabu..
Daud ktk Bible alimuuwa Uria kwasababu yamke wake. Uria alikuwa na mke mzuri sana lakini ilikuwa vigumu kwa Daud kumchukuwa hivyo Uria alipelekwa mbele vitani akafa na Daud akamchukuwa mke..
Huyu Daud ni mtu anatajwa madhabahuni kwa asilimia 99% lakini alikuwa mtu mbaya na alie uwa maelfu mpaka Mungu mwenyewe anasema akamwambia hatojenga hekalu lake kwa sababu ya dam alikuwa kamwaga.

Hiki kimetokea hapa kwetu nibora tunyamaze maana Rais wetu hajafanya bado yale tumetahadharishwa kwenye hiki kitabu. Rais wetu uwenda akawa mtakatifu maana bado ajafanya mengi ya yale Mungu aliwaonya israel juu ya wafalme.

Rais ni mtu mwenye mamlaka makubwa sana. Mamlaka yake haikosolewi kama vile akina lisu na wenzake walikuwa wanafanya. Rais hakosolewi kwa kauli zinataka kuligawa taifa ama kuleta Hali ya utawala kudharaulika.. Nahii ipo very clear kwenye miongoz ya utawala na mambo ya kiusalama.. Pia sheria imeenda mbali nakuwapa ruhusa watu mambo yakiusalama kumaliza kaz pindi kunawasaliti ndani ya serikali na nje pia.

Hii sio kwa tanzania tu but all ober the world...
Kama mtakumbuka Marekani kipindi cha Obama alikufa mtu muhimu sana ndani ya white house na kifo chake kilikuwa kugongwa na gari... No one comment ila maswali ni mengi....
Sio tu kifo hicho kunavifo vimetokea vyakutisha sana lakini hakuna mtu amewahi kuvijadili..

Kupigwa Risasi ambapo Lissu anatuaminisha serikali nivyema akatoa pia siri zote alizokuwa akiambiwa na maafisa usalama ili tuamini serikali inahusika kitendo chakumshambulia Rais bila kuwa na data ni jambo lakifedhuli nakuikosea serikali nakuziona mamlaka zote hazifanyi kazi yake vizuri..
Kwangu siku zote najiuliza swali gumu why Rais aruhusu kumpiga risasi while we have soo smary vikosi vyakumaliza watesi wa Serikali? Why Mh Rais atumie risasi...

Hi guys tuna sumu mtu wala hapigi chafya kwaheri...
Tunasumu mtu anakufa polepole yani tena kwa maleria au cancer yani no need yahizi purukushani... Kweli tunapoteza muda kwa vitu hatuna data...

Mmesahau Russia walivyo muuwa afisa usalama wao mpaka UK wakakesha kutafuta ant dot mpaka leo manyoya
Alafu mnasema nini taifa letu lina wasomi maelfu from russia why wampe ujiko huyu mtu kwa kumpiga risasi. Hivi ujuwi kifo cha risasi ni kifo cha kishujaa ina maana Lisu ni shujaa kindly give me a break.... Angemzuwia Lowasa mlangoni shame on ye team chadema

Pia kama basi kweli Tundu lisu atakuwa kunakitu anakijuwa na zile risasi anajuwa dhambi yake stop....
Umelewa?
 
Mleta mada hajui nini ni dhambi na nini siyo dhambi na maana ya dhambi ni nini. Pia hajui nini asili ya dhambi lakini pia hajui nini asili ya binadamu kiimani... Siku akifaamu majibu ya maswali hayo ataungana na Kakobe kumshauri Raisi atubu...
 
Warumi 3:23-24
23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;

24 wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;

25 ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa;

Mkuu akatubu tu hamna namna.
 
Huyu mleta mada ni pashkuna!
Hivi kuna binadamu asiye na dhambi?
Papa ni mkubwa kuliko rais lakini huwa anatubu ...
Hutu magu alidanganya umma saddam alikuwa rais wa kuwait hiyo siyo dhambi ya kutubu?
Alidanganya atapandisha madaraja na mishahara kabla ya mwaka 2017 kuisha, hiyo siyo dhambi?
Double standard kwenye masuala mbalimbali, hizo siyo dhambi?
Huyu mleta mada ni mpotoshaji na hajui lolote kuhusu dhambi, ni sawa na wakala wa shetani anatumika kumsafishia shetani njia apite!
 
Historia inatumbia hapo mwanzo wanadam walikuwa chini ya maongozo ya Mungu na lakini baadae watu walitaka kutawaliwa na wafalme na hapa ndipo ukweli wa serikali umelala.
Ukioma paragrafu hizo zote ktk kitabu cha samweli kamwe hutopoteza muda kumshutumu kiongoz wa taifa nakumwambia atubu...
Nilazima ujiulize atubu nini? Mungu mwenyewe alisha tuwasa kupitia israel athari zakuwa na viongozi wa dunia na sio yeye.. Rais ana tawala kila kitu nimtu mkubwa sana na hatuwezi kumbeza na huu ndio ukweli.. Wakati viongoz wa dini wanapiga kelele juu ya Rais wetu nilazima wakumbuke na wao kuwa kama Magufuli angefuwa ile sheria pia vichwa vyao ni halali yake why very simple ni hiki kitabu..
Daud ktk Bible alimuuwa Uria kwasababu yamke wake. Uria alikuwa na mke mzuri sana lakini ilikuwa vigumu kwa Daud kumchukuwa hivyo Uria alipelekwa mbele vitani akafa na Daud akamchukuwa mke..
Huyu Daud ni mtu anatajwa madhabahuni kwa asilimia 99% lakini alikuwa mtu mbaya na alie uwa maelfu mpaka Mungu mwenyewe anasema akamwambia hatojenga hekalu lake kwa sababu ya dam alikuwa kamwaga.

Hiki kimetokea hapa kwetu nibora tunyamaze maana Rais wetu hajafanya bado yale tumetahadharishwa kwenye hiki kitabu. Rais wetu uwenda akawa mtakatifu maana bado ajafanya mengi ya yale Mungu aliwaonya israel juu ya wafalme.

Rais ni mtu mwenye mamlaka makubwa sana. Mamlaka yake haikosolewi kama vile akina lisu na wenzake walikuwa wanafanya. Rais hakosolewi kwa kauli zinataka kuligawa taifa ama kuleta Hali ya utawala kudharaulika.. Nahii ipo very clear kwenye miongoz ya utawala na mambo ya kiusalama.. Pia sheria imeenda mbali nakuwapa ruhusa watu mambo yakiusalama kumaliza kaz pindi kunawasaliti ndani ya serikali na nje pia.

Hii sio kwa tanzania tu but all ober the world...
Kama mtakumbuka Marekani kipindi cha Obama alikufa mtu muhimu sana ndani ya white house na kifo chake kilikuwa kugongwa na gari... No one comment ila maswali ni mengi....
Sio tu kifo hicho kunavifo vimetokea vyakutisha sana lakini hakuna mtu amewahi kuvijadili..

Kupigwa Risasi ambapo Lissu anatuaminisha serikali nivyema akatoa pia siri zote alizokuwa akiambiwa na maafisa usalama ili tuamini serikali inahusika kitendo chakumshambulia Rais bila kuwa na data ni jambo lakifedhuli nakuikosea serikali nakuziona mamlaka zote hazifanyi kazi yake vizuri..
Kwangu siku zote najiuliza swali gumu why Rais aruhusu kumpiga risasi while we have soo smary vikosi vyakumaliza watesi wa Serikali? Why Mh Rais atumie risasi...

Hi guys tuna sumu mtu wala hapigi chafya kwaheri...
Tunasumu mtu anakufa polepole yani tena kwa maleria au cancer yani no need yahizi purukushani... Kweli tunapoteza muda kwa vitu hatuna data...

Mmesahau Russia walivyo muuwa afisa usalama wao mpaka UK wakakesha kutafuta ant dot mpaka leo manyoya
Alafu mnasema nini taifa letu lina wasomi maelfu from russia why wampe ujiko huyu mtu kwa kumpiga risasi. Hivi ujuwi kifo cha risasi ni kifo cha kishujaa ina maana Lisu ni shujaa kindly give me a break.... Angemzuwia Lowasa mlangoni shame on ye team chadema

Pia kama basi kweli Tundu lisu atakuwa kunakitu anakijuwa na zile risasi anajuwa dhambi yake stop....
haya Mambo uliyoongea ni makubwa mno utwasikia wakina cha upepo muda si mrefu na mitusi yao maana hata Iweje husafiria akili za vyama na viongozi wao
 
Miongoni mwa jambo baya linalokufanya ushindwe kupumua ni jaribio ovu la watawala la kutaka kumuua Lissu,kila siku unaweweseka na kuifariji nafsi yako kwa kuandika hoja zisizo na mashiko za kujitakasa mikono ya damu.

Unapaswa kujinyeyekeza chini ya mkono wa Bwana ili akutakase na hatia uliyonayo,bila hivyo damu ya Lissu iliyomwagika kupitia zaidi ya matundu 32 ya risasi itakutesa milele.

Kama serikali haihusiki na shambulio la Lissu,kwa nini haitaki kuwekeza vya kutosha kwenye uchunguzi wa tikio hilo ili ijitakase kupitia uchunguzi usiyo na shaka utakaobainisha wahusika halisi wa tukio hilo?Kwa nini ikishauriwa waletwe wachunguzi wa kimataifa kuchunguza tikio hilo serikali nzima inashikwa na kiharusi?

Zipo wapi cctv camera zilizokuwa zimefungwa kwa majirani wa Lissu?Nani aliziondoa,zimepelekwa wapi na kwa nini ziondolewe baada ya tukio hilo na waondoaji walitaka kuficha nini na wana mamlaka gani hadi wavamie nyumba ya mtu na kung'oa mfumo wake wa ulinzi?

Hata uje jukwaani ukinena kwa lugha,bado haitatosha kuitakasa serikali na hatia hii,njia pekee ya kujinasua kwenye hili ni kuruhusu uchunguzi huru juu ya matukio yote ya mauwaji,utekaji,uteswaji na kupotea kwa watu na kisha kuonekana miili ikiwa kwenye vilindi vya maji ndani ya sandarusi.

Ndugu yangu,huhitaji kutumia nguvu kujihami,eti unamtaka Lissu awataje watesi wake,hivi serikali yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama,yenye vikosi vyote vya kiintelejensia,yenye fursa hata ya kuomba msaada toka mashirika makubwa ya upelelezi duniani,inashindwa nini kuchukua hatua hadi imtake mwathirika wa tukio hilo ndiyo awe mpelelezi wa kushambuliwa kwake?

Acheni kushupaza shingo,njia pekee ya kuondokana na kadhia hii ni toba,Taifa linapaswa kuingia kwenye mafungo na kufanya toba ya kweli kwa imani zote,uovu uliofanywa na serikali hii kwa muda mfupi tangu iwe madarakani ni mkubwa mno,jeshi la wasiojulikana limeua,limetesa na kupoteza wengi sana,ghadhabu ya Mungu juu ya utawala huu yawezekana ipo katika nukta ya kutorudi nyuma"the point of no return"(kutosameheka),bila kufanya toba ya kweli mtavunjika shingo.
 
BdWFWfaFszK.jpg
 
Nivigumu sana kuwatawala wanadamu wanavyotaka, ni jambo jepesi kutoa maoni lakini kunanjia sahihi kwa kiongozi wa imani kumuona rais Na kutoa mahubiri yake, kumwongelea rais kanisani ni utamaduni mpya, Ni vema tukatambua kuwa kuwatumikia watu lazima Nguvu itumike, hiyo ipo mahali pote duniani, jamani kuwaongoza watu maskini ni Na tatizo, kila mtu anavyotaka ni jambo gumu sana,lazima unapotaka kujadili nafasi ya rais jipime kwa mawazo yako, kama wewe ungepewe nafasi hiyo ungefanya nini?kwa nchi kama hii, nchi maskini, lazima wakati wa kujenga nchi tujenge nchi, hadithi za kisiasa hazina maana pana, ni vema tujikite nini tufanye ili tufike tunakotaka kwenda.
 
Back
Top Bottom