Enyi wasomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enyi wasomi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chinga boy, Sep 30, 2012.

 1. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shikamoni wadau.Ni mtizamo wangu tu,nimekuwa nikijiuliza cc watz tulio wengi ni masikini labda kwa kukosa elimu lets say ujasiriamali at the same time tuma utajiri wa wasomi wachumi tena first class ,sasa najiuliza hivi hamuweza kutupa walau kielimu kidogo hadi muwe serikalini au munasubiri muwe mawaziri au maraisi ndipo mtupe elimu walau ya ujasiriamali.Tunawaomba mnapokuja likizo zenu huku Tandahimba njooni vijiweni tupeni kidogo elimu nasi tujikwamue,msiwe kama Lipumba mchumi no moja duniani lkn pale kjjn kwao vijana wengi ni jobless
   
Loading...