Enyi wanawake watiini wanaume zenu, enyi wanaume wapendeni wake zenu

wakwatito

Member
Apr 15, 2018
30
49
Mwanamke amemliwa kimtii mume wake na sio kumpenda, mwanaume ameamuliwa kumpenda mke wake, na ndani ya utii kuna upendo heshima unyenyekevu.

Wanawake wengi leo tunajua kupenda na sio kimtii mumeo au mpenzi wako, tujifunze kutiii wanaume zetu au wapenzi wetu, ili wanaume wazidi kutupenda. Sababu ya kuwatii kwetu
 
Yes!! km andiko lilivo linaanza na utii kwanza, then upendo unafuata baadaye !! ila kuna mianamuke ina badili haya maandiko eti upendwe kwanza ndo likutii ...

Wallhh!! nasema Mwanaume ukiona unaambiwa hivyo eti ''upendo kwanza'' yaani kimbia kabisaaa usiangalie nyuma huyo ni shetani Live!!! ana macho manne ila huyaoni....ukikaidi utalia sana....
 
Back
Top Bottom