Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Prof. Lipumba, "sisi kama CUF tunaweza kukiimarisha chama na kusimamia haki na usawa na kupambana na ufisadi. Wenzetu Chadema toka Lowassa aingie kwenye chama hawana uwezo na ujasiri wa kupambana na ufisadi. Wamepoteza mwelekeo. Magufuli anasema Hapa Kazi Tu sisi tunasema Hapa Haki Tu." (Azam Tv 2)
My Take:
Vijana wa Chadema kanusheni au mkiri ukweli. Chadema inayo moral authority ya kupambana na ufisadi? Semeni kweli kutoka mioyoni. Ni kwa nini ile List of Shame imeondolewa kwenye tovuti ya chama?
"Ninao ushahidi wa ufisadi wa Lowassa na Rostam"- John Mnyika.
"CCM imempa fomu ya kugombea Urais fisadi Lowassa, hatari"- Tundu Lissu
"Nashangaa vibaka wanakamatwa na kuchomwa Moto fisadi Lowassa anaachwa kutamba"- Freeman Mbowe
"Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa"- Godbless Lema
"Ni wajinga tu wasio na akili wanaweza kumshabikia fisadi Lowassa"- Peter Msigwa
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!