Enyi Halotel hivi kwanini?

Enyi Halotel hivi kwanini?

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,251
Reaction score
2,035
Aise nimekuwa nikisikia Biko na Tatu mzuka, nyie halotel na hyo bahati nasibu yenu ya halo win huwa inafanyika wapi na lini? Nimechoka na meseji zenu sijui umepokea namba ya bahati blabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise nimekuwa nikisikia Biko na Tatu mzuka nyie halotel na hyo bahati nasibu yenu ya halo win huwa inafanyika wapi na lini? nimechoka na meseji zenu sijui umepokea namba ya bahati blabla.
Wezi tu
 
Mimi huwa napokea namba za bahati tu lkn sijawah kupokea Pesa za bahati
 
Back
Top Bottom