khanjuboe BESM
Member
- Oct 25, 2022
- 20
- 8
- Thread starter
-
- #41
SawaaaAkili aliyowekeza kuipata hyo 4.3 angeigawa angalau apate 3.5 halaf hyo 0.8 iliyobaki angewekeza mtaani saizi angekua kashajua afanye nini. Kuwekeza akili zote kwenye GPA halafu unakuja kitaa hujui cha kufanya ni kosa.
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Ulisoma hiyo kozi ili badae ufanye nini?Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Kupata deals katikaa kampun binafsiUlisoma hiyo kozi ili badae ufanye nini?
Sponsorship ya nn? Kajitolee (volunteer) baa ya jirani usafi wa mazingira (environment)Ishu natafta sposorship kk sio hivoo unavohisi ww
Hiyo ipo hadi Muhas ,sio SUA tu Tz nzima inapaswa jambo hilo kutazamwa kwa umakini.
Environmental science....... SUAMbona unachangana madesa muhas na sua wapi na wapi?
PR means Public relations ni kozi ya ajabu au unamaanisha kitu kingine ndugu?mwenye gpa chini ya ya 3.4 course hiyo hiyo uta kuta ana cha kufanya tayari nyie mlienda kukariri ,hizi salamu ni kwa wenzio wanao somea HR na PR na course zingine za ajabu ajabu
Kauze madafu mkuuMe ndo mana nimeufyata tu na 3.3 yangu, staki hata kusumbua watu.
Mkuu trust me, soon naanza kulamba asali na jipiei yangu ya lower class.Kauze madafu mkuu