Environmental Sciences Management GPA 4.3 SUA

Hapa ndio serikali inatakiwa kucheza napo elimu ya makaratasi imepitwa na wakati tuwekeze kwenye maarifa yanayoreflect mwenendo wa dunia ya sasa na fursa zake. Mtu ana GPA 4.3 na hajui cha kufanya[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nina GPA ya 2.8 nafanya biashara mkuu karibu.
 
Huo ndio ugonjwa mkubwa wa SUA.

Course za SUA nyingi ni za kufutwa, zinawapotezea vijsna muda na hakuna pa kufanyia kazi ukimaliza.
Hiyo ipo hadi Muhas ,sio SUA tu Tz nzima inapaswa jambo hilo kutazamwa kwa umakini.
 
Asantee kk
 
Zoa taka zote za mtaani kwako, uweke mazingira safi.
 
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
ESM ni kozi ngumu kiasi chake na ajira zake pia ni ngumu kwa kiasi chake

Dah hongera kwa mapambano yko ya freedom Square ila umetisha kwa GPA iyo kulingana na kozi yko ple Mazimbu
 
Hiyo ipo hadi Muhas ,sio SUA tu Tz nzima inapaswa jambo hilo kutazamwa kwa umakini.
Hiyo yako na ya MUHAS zinafanana mkuu!??

Na zote mnafanga kazi katika eneo moja
 
Akili aliyowekeza kuipata hyo 4.3 angeigawa angalau apate 3.5 halaf hyo 0.8 iliyobaki angewekeza mtaani saizi angekua kashajua afanye nini. Kuwekeza akili zote kwenye GPA halafu unakuja kitaa hujui cha kufanya ni kosa.
 
Okota chupa na chuma chakavu man lengo ni mazingira yawe safi
Sasa tutakushauri nini maana umeshamaliza kusoma na haujui ulisoma ili uwe nani
 
Hiyo yako na ya MUHAS zinafanana mkuu!??

Na zote mnafanga kazi katika eneo moja
Mimi sijasomea kitu hiko kwa sifahamu hayo ninachojua kuwa zinahusiana.
 
mwenye gpa chini ya ya 3.4 course hiyo hiyo uta kuta ana cha kufanya tayari nyie mlienda kukariri ,hizi salamu ni kwa wenzio wanao somea HR na PR na course zingine za ajabu ajabu
 
Okota chupa na chuma chakavu man lengo ni mazingira yawe safi
Sasa tutakushauri nini maana umeshamaliza kusoma na haujui ulisoma ili uwe nani
Ishu natafta sposorship kk sio hivoo unavohisi ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…