Environmental engineers VS Civil engineers

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Kazi za hawa jamaa ni zipi?

Kazi ipi inalipa kuliko nyingine?
 

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
250
500
Civil ni core afu ndio engineering halisi achana na hio environment ni rasha rasha ya engineering
 

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
zote hizo ni full njaa ..hazina dili kwa tz hii ya propaganda
 

conductor

JF-Expert Member
May 29, 2013
548
500
Soma political science...(Bsc.political engeneering).kwan siasa ndo inaletea viwanda....pia ndo core subject ya kozi zote hapa Tz..Hususan kupitia chama tawala chenye mapolice wengi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom