Jamani kwa yoyote anayeijua hii kozi vizuri naomba ailezee vizur na application zake ktk maisha maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo na ana utata wa kuijua vizur hiyo kozi maana inatolewa na chuo kimoja tu

na mimi pia nimechaguliwa hiyo hiyo ila ninachokijua hii ipo ardhi tu pekee admission capacity ni 75,fee 1,100,000...duration 4 years...mtu aliyesoma hii anaweza kujikita kwenye migodi,mambo ya maji na projects mbali mbali hii kozi ni adimu mnoo wahitimu wake tunahitajika sana nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.