Habari wakuu,vipi mwenye taarifa zozote kuhusu mchakato mzima wa hii position.Je wameishaita watu kwenye usaili hama bado maana kwangu mimi bado naona kimya.Tafadhali mwenye taarifa zoote naomba.

Kweli kabisa, maana hata Mimi niliona kimya nikajua wameshaita. But wangesema all successfully candidate will be contacted in which date ingekua poa zaidi ili tarehe ikipita mtu usipate tabu ya kupay attention.