Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
Biblia inasema mtu alie okoka ni mtu gani?Namfahamu,ila kwa sasa siwezi kumsikiliza,ukiokoka huwa kuna configuration ya ajabu moyoni mwa mtu baadhi ya mambo yasiyo upande wa mila ya mbinguni yanakosa nguvu ndani ya mtu
Kumbe wewe bado mtotoUmenikumbusha mbali sana enzi za chuo asee
Sasa kwenye huu uzi unatafuta nin mkuu?Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Kwa Kina Mama hata Beyonce,rihanna,taylor swift kwa Sia hawagusi..Hakuna kama SIA narudia hakuna kama SIA We jamaa hakuna mwanamziki anaemshinda utungaji Sia Umenielewa.!
Natafuta waliopotea waokoleweSasa kwenye huu uzi unatafuta nin mkuu?
Unataka mjadala au unataka kuokoka ndgu,biblia iko very clear isome utaelewa tuBiblia inasema mtu alie okoka ni mtu gani?
Kuna nyimbo za mnazoziita za kidunia zina ujumbe mzuri kuliko hizo za dini. Wimbo kama cry wa MJ ni bora zaidi ya nyimno 100 za dini.Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Hili la Bibilia tulifunge wakuuUnataka mjadala au unataka kuokoka ndgu,biblia iko very clear isome utaelewa tu
Kwani kuokoka ni nini??Unataka mjadala au unataka kuokoka ndgu,biblia iko very clear isome utaelewa tu
Huku kwenye bibilia tufunge mjadalaKuna nyimbo za mnazoziita za kidunia zina ujumbe mzuri kuliko hizo za dini. Wimbo kama cry wa MJ ni bora zaidi ya nuimno 100 za dini.
By the way, kila mtu ana njoa zake.
Kwangu hii ndo favoriteDon't you need somebody 🎶🎶
Sauti yake humo dohh!!
Mkuu sikiliza moja yupo na Whtiney Houston kaka kaka ni🔥🔥🔥🔥Kwangu hii ndo favorite
Hongera kwa kufika Kaanani. Usirudi tena Misri.Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Ina views sasa hivi karibia billion 3 youtubeEnrique ~ Bailando naweza sikiliza siku nzima!
Nitaitafta.. Kuna ile pia aliimba na mdada flani hivi.. Kama sijakosea ni Am taking back my love.. AloohMkuu sikiliza moja yupo na Whtiney Houston kaka kaka ni🔥🔥🔥🔥