Enjoy to the maximum

Enjoy to the maximum

Mtoto wa Mama Samia

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
772
Reaction score
392
Live today as if there is no tomorrow. Uzee si kitu chema, ni muda wa maradhi mengi, uchovu mwingi, majuto tele,... Aah, better to live to the maximum, don't let a day go without enjoying life.Vunja mifupa ingali meno bado iko yote.

If a neighbor ask you for a company in a cold night, usimnyime, mpe tu ilimradi ni SALAMA. Kwani inaisha kama mshumaa? Unamnyima mtu, sawa. Siku moja unakufa unaenda na utamu wako, wanafaidi sisimizi na funza. Ndio nini sasa?

Mtu anaomba hadi analia, lakini hapewi. Jamani! Kisa? Hana hela! Kwani utazikwa na hela? Si bora damu Utazikwa nayo?

Ukiwa na hela na wewe usiwe bahili, utazikwa na hela? Tumia hela to the maximum. Siku ukifa ukaacha salio la, let say million kumi, jamaa zako watatesa sana. Watanunua smartphone za bei mbaya Ilihali wewe ulijibana na simu uchwara. Kama hela ipo kwa nini usihonge mademu wakali? Mkajirusha viwanja vikali? Pombe kali? Pamba kali?... Usiishi kwa kuokoteza okoteza.

Furahia maisha na watu uliokaribu nao. Yaweza kuwa ofisini, au simply mtaani. Tunafanya kazi ofisi moja Dar, ninaomba mzigo unaninyima lakini unasafiri kwenda Mwanza kuhemea mahaba.

If you enjoy life with people around you, you will die a very happy man, very happy death.

If you are born for music, dance as if there is no tomorrow. If your body is burning for sex, let you do it with the sweetest woman/ man. If you are born academician, read and write to the maximum... Research, where is your happiness? ����

Remember that we all live once, God has given us a golden opportunity to live in this world. One day, one by one, we vanish.

Enjoy to the maximum.

Ni mtazamo tu.
 
Daah me nimeipenda tu ID yako mpendwa. Enjoy to the maximum

C.c atoto
 
Last edited by a moderator:
Nikikumbuka nilikotoka sitaki kurudi hata kidogo wacha tu niwe
 
Ewaaaaaa! Hicho hicho, ila huko pa kutoa papuchi hapana kwakweli.
Dear atoto, iache papuchi itumiwe to the maximum ilimradi ni SALAMA.Siku moja utazikwa madongoni, inajaa mchanga tu. Inakuwa chakkula ya earth worm. Ndio nini sasa?!
 
"Sometimes I wish that I could go back/
No bills, no kids, just getting tore back/"
 
Hisia za Moyoni hizi..... Yaonesha umenyimwa kitu addimu leo na alokunyima katoka Dar kwenda mwanza kukifata. Pole sana Ila point Taken YOLO-You Only Live Once.

Tunafanya kazi ofisi moja Dar, ninaomba mzigo unaninyima lakini unasafiri kwenda Mwanza kuhemea mahaba. Shenzy type.
 
Hisia za Moyoni hizi..... Yaonesha umenyimwa kitu addimu leo na alokunyima katoka Dar kwenda mwanza kukifata. Pole sana Ila point Taken YOLO-You Only Live Once.

Tunafanya kazi ofisi moja Dar, ninaomba mzigo unaninyima lakini unasafiri kwenda Mwanza kuhemea mahaba.

Dhumuni la mleta mada ni hili mkuu..

Meseji delivered!
 
Heee we kaka ngoja nije pm mwenyewe 😂😂😂😂
 
I really appreciate this knowledge Mtakasaji ntakutafuta tupombeke maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Last edited by a moderator:
Dear atoto, iache papuchi itumiwe to the maximum ilimradi ni SALAMA.Siku moja utazikwa madongoni, inajaa mchanga tu. Inakuwa chakkura ya earth worm. Ndio nini sasa?!

Hahahaaaaa!! Tatizo huo USALAMA ndio majanga, so bora ikaliwe na mchanga tu.
 
Back
Top Bottom