Enjoy this turudi nyuma kidogo...

mtu bhana! kila msanii ana radha yake
 
hii ni kwa wale ambao wametulia tu! no mchepuko😀
 
Imekaa poa sana hii.
Hivi Besta yuko wapi siku hizi?
 
dah! hapa nakuwa kama naiona ile rebo ya TVT a.k.a TBC kwa sasa
 
hapa sitii neno you just enjoy nakadhalika nakadhalika...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…