Hilo la mchungaji na muumin limenifurahisha zaidi,inaonekana muumin kapata upako haswa maanake sio uwingi wa yesyes huo.Afu hapo ukute kamwacha wife nyumbani kisa kapigiwa simu kondoo wa Mungu anahitaji maombi!!!!!!!Jamani hawa watumishi wa siku hizi!!!!!!