Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.

wapi masai Dada nikiona rangi kama hizo(black outside) huwa moyo wangu unanidunda kudukudu lol!
 
Last edited by a moderator:
Nikatamani nitume yangu! Ila nkajua watu humu wataanza kunisengenya mara sina kiuno mara sina pakukalia! Ila ukweli ni kuwa hadi nafikisha umri huu, sijawah paka lotion,poda ,lipstic,wala chochote kwenye ngozi yangu. Napenda rangi nyeusi ya ngozi yangu! Kiukweli mie nikati ya wachache tunayoipenda rangi hii inayopotea! Am totally black!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue za hivyo huwa nazionea huruma kuzipiga speed ya farasi
 
Mkuu Sallu, acha uchokozi!, wenzio saa hizi tunajiandaa kwa Kwaresma, tena kwa sisi wataalamu wa kupima kule, kwa mwanamke unaangalia the proportionality size ya lips, ni direct proportional na size ile ile, na radious ya mdomo, ndio radius ile ile kule!, sasa ukiangalia hiki kimdomo... mambo mengine acha, kwa sisi tunaotumia verified names, unaweza kusababisha kesi!, ila vitu vingine...!.

Mambo ya body proportionality ni very precise, round ya shingo times 2 ndio waist, anza ku note wenye shingo nene na shingo nyembamba angalia waist zao.

Kwa nyinyi wadada, ili kujua size ya jamaa, angalia round ya pua, na urefu ni urefu wa vidole!.

P.
 
Unaona eh, ndiyo maana sisi wanaume hatuishi maisha marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Being happy, doing what you love and enjoys, prolongs sana life, hivyo kama ni mpenzi wa kutazama, ukitazama tuu, unafurahi na kurefusha maisha, na kama ni mpenzi wa kutumia, unajaribu bahati yako, mpaka leo Mswati yuko kama late 20s!.
Lengo la Mungu kutuumba ni ili tuishi na kupata raha, baada ya kumuumba Adamu ndipo akamuona ni mpweke, ndipo akamuumbia mwenza ili ampe raha, hivyo hao viumbe tumeumbiwa ili kupata raha.
P.
 
Ila uongo mbaya King anafaidi jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…