i am serious! lol...
kuna watu wanajua kucheka tu.. wakiambiwa wasahihishe sasa inakuwa kazi!
nauliza tena kwa waliocheka hii ngeli... Makosa yako wapi?
Re-write the dialogue please!
cc
miss neddy,
preciousrabbit,
KIBONGOMKUTI,
Salamander,
NAKEMBETWA,
Nestle...
Guys naomba muandike usahihi wa hii conversation! msiangaliziane please!
Nasubiri...