Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Tuko kibiashara zaidi 2010/11.
Hahahahahahahahahahaah unanipaga raha sana wewe na BAK mpe salaam zangu!
Tuko kibiashara zaidi 2010/11.
Hahahahahah hawa Arse -anal ni kama waswaga Mbuzi hahahahahahaahahah
vipi mnauza? kama mnauza nanunuaTuko kibiashara zaidi 2010/11.
kutangulia si kufika Reverend!..Eishhh
Hahahahahah hawa Arse -anal ni kama waswaga Mbuzi hahahahahahaahahah
Kumbuka nina maono baby! si timu hii ya wafuga mbuzi
ohohooo!naona Liverpul wameingiza kitu,sasa game litachangamka!..I can't wait kumwona Walcott!! AW inabidi mkaze buzi
Leo swahiba umekuaje??? ni "a boo" na "ass shaving" --- umekula mjusi nini?Eboue na Arshavin wanafanya nini uwanjani?
Eboue na Arshavin wanafanya nini uwanjani?
watu wako vacation bado mkuu.