Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council. Je ufanisi wao upoje? Sawa najua kuelewa ni juhudi za mwanafunzi lakin na walimu wanachangia, any idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea.

Nakumbuka mwalimu wangu Mr. Muhandeni mtaalamu wa mambo ya Taxation na Auditing Alisema hata kama una Masters kusoma English course siyo dhambi na ukijua vingi unakua huru Kila la heri mkuu!
Ila naskia wako vizuri sana Kama Mke wa Rais wa awamu ya nne walimfundisha akajua nahisi haitakua vigumu kwako.