Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
naam mkuu gaucho yuko ndani!!!!Nasikia wanasema mtakatifu GAUCHO ameitwa leo. Ngoja tuone.
Gaucho kama Erasto Nyoni!!!anakosa penalty!
Gaucho kakosa penati bana.
mkuu usha anza ni dakika ya 37 ninauangalizia online,sijui ni king'amzi gani kinaonyesha!Mkuu mpira umeanza? Sie wenye king'amuzi station gani wanaonyesha?
si unajua tena yeye anaonekana kaka mkubwa kwa hiyo madogo wakamwachia!!!Aling'ang'ania kupiga? Hii itamkost
Aling'ang'ania kupiga? Hii itamkost
mkuu si inabidi a-prove kuwa kuitwa kwake na kocha kulikuwa na maana!!!Itamcost nini? He has got nothing to prove.
Itategemea kocha kamwita kwa sababu zipi.mkuu si inabidi a-prove kuwa kuitwa kwake na kocha kulikuwa na maana!!!