Engineers deployed to begin preparations for JKIA to City bridge

Sawa.. ila hiyo kitu iko cheap sana
Usiumie sana jombaa, hayakuisha na Thika Highway kazi inaendelea Kenya. Miundo mbinu inazidi kuboreka kila uchao.
Cl0oxrbWYAA8BmT.jpg:large
 
Hahaha! Kali sana. Nasikia Thika Highway ilipoanza kutumika watu wa Murang'a wakija Nairobi walikuwa wanajikanganya hadi wanazima engine katikati ya barabara ili washiriki kwenye maombi kwanza. .... awa fatha, awa murugu nitwaoka mbere yaku....
Wee hakungekalika humu!
Wengi walikuwa wanazaiwacha gari Thika na kupanda matatu hadi Nairobi.
 
JKIA Rironi is going well but i am not convinced that image is from the section
 
Back
Top Bottom