thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
But that thing is cheapUmeanza kelele mapema sana hata kabla interchange yenyewe haijakamilika. Itakuwaje ikishakamilika jombaa, si utameza sumu kwa hasira?
But that thing is cheapUmeanza kelele mapema sana hata kabla interchange yenyewe haijakamilika. Itakuwaje ikishakamilika jombaa, si utameza sumu kwa hasira?
Hahaa! How? Tueleze tuelewe ukitumia mfano moja wa kitu kama hicho Tz, kwa picha.But that thing is cheap
Sawa.. ila hiyo kitu iko cheap sanaHahaa! How? Tueleze tuelewe ukitumia mfano moja wa kitu kama hicho Tz, kwa picha.
Usiumie sana jombaa, hayakuisha na Thika Highway kazi inaendelea Kenya. Miundo mbinu inazidi kuboreka kila uchao.Sawa.. ila hiyo kitu iko cheap sana
Wengi walikuwa wanazaiwacha gari Thika na kupanda matatu hadi Nairobi.Hahaha! Kali sana. Nasikia Thika Highway ilipoanza kutumika watu wa Murang'a wakija Nairobi walikuwa wanajikanganya hadi wanazima engine katikati ya barabara ili washiriki kwenye maombi kwanza. .... awa fatha, awa murugu nitwaoka mbere yaku....
Wee hakungekalika humu!
Leo umesokota cha wapi jombaa?Safi sana.. ila hivi vitu viko cheap! Ata wewe ukitizama unaona
Tuonyeshe zenu expensive.Safi sana.. ila hivi vitu viko cheap! Ata wewe ukitizama unaona
Unapenda kuonyeshwaTuonyeshe zenu expensive.
Unapenda kubwabwaja.Unapenda kuonyeshwa
povu la jamaaUnapenda kubwabwaja.
Wewe una wivu kuwashinda wenzako...hahahaha umeng'ang'ana sana si you just give up na ukubali umeshindwa.povu la jamaa
Kwani ni mashindanoWewe una wivu kuwashinda wenzako...hahahaha umeng'ang'ana sana si you just give up na ukubali umeshindwa.
I think you're retarded. Your only response to anything is povupovu la jamaa
You think!! Thanks for sharing your thoughts. Incase anything else pops up in your mind, feel free to share againI think you're retarded. Your only response to anything is povu
It did. You're stupid.You think!! Thanks for sharing your thoughts. Incase anything else pops up in your mind, feel free to share again
It did. You're stupid.