Engineering science in Tz

wilson kifua

New Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hello wadau.
ningependa kuwashirikisha ktk suala hili la nyanja ya kisayansi juu ya ENGINEERING nchini Tanzania.
Ningependa kujua mchango wenu juu ya njia mbalimbali za kushinda changamoto ktk secta ya Engineering..
kwa sababu tumeweza kushuhudia wasomi wetu wengi waliofuzu elimu ya juu ktk nyanja hii, lakini bado kuweza kuaminiwa na serikali yetu au mashirika binafsi imekuwa ni vigumu sana kupewa tenda na ajira za uhakika.
 

Attachments

  • 406059_413811771997773_977693669_n.jpg
    70.8 KB · Views: 70
Unauhakika? Sidhani kama ni kweli. Sidhani kama ma engineer wa kigeni hapa tz wanafika 10%. Mbona tunapiga mzigo tu kwa kwenda mbele? Hata kampuni za kigeni zikipata tenda huwa zina ajiri wabongo
 
Unauhakika? Sidhani kama ni kweli. Sidhani kama ma engineer wa kigeni hapa tz wanafika 10%. Mbona tunapiga mzigo tu kwa kwenda mbele? Hata kampuni za kigeni zikipata tenda huwa zina ajiri wabongo
unachosema wewe ni copy and paste je kuna innovation ya aina yoyote kutokana na mazingira yanayotuzunguka? kutoka kwa mainjinia wetu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…