Engineering course explanation

TOPTHINKER

Member
Jun 9, 2023
7
9
Jamani naomba maelezo kuhusu kozi ya mechatronics na biotechnology engineering zikoje na fursa zake ni zipi
 
mechatronics n extension ya mechanical,electrical,computer and electronics.hi n one of the newest courses ambayo ilikua implemented vyuon dunian mwaka1996. na kwa Tanzania around 2016 hiv.

inajumuisha robotics.hii course n nzur sana kwa nchi zilizoendelea kama USA,CHINA etc

kwa upande wa nchi kama yetu changamoto ni nyingi hakuna sehem za kutosha za kuweza ku apply hii field ya mechatronics.shida moja utakayokutana nayo direct n kupata mahal pa kufanyia field

hii course n multidisciplinary course yan unakua na uelewa mpana wa technology.but always reality huwa inakatisha tamaa.most of the people hawaitambui makazin

lakin n moja ya great course kama unataka kuja kujitegemea au kujiajir mwenyew coz unakua na uelewa mpana wa field mbalmbal za engineering

kwa upande wa biotechnology sijajua wanahusiana na nn rfk ang wenye majib mazur watakupa
 
Back
Top Bottom