Mmakonde katolewa kwa mkopo Kwasababu za sheria, ligi ya kule wanaruhusiwa wachezaj wa kigeni 5 ambao tayari Mamelod ilikua naoMamakonde alitolewa kwa mkopo mamelodi sababu kuna wachezaji wanaomzidi kiwango wengu.. niambia mchezaji gani wa ligi ya Tanzania timu zote anaweza akaanza katika first eleven ya mamelodi sundown, tp mazembe,waydad, raja, enyimba etc... Tanzania hatuna grade A player katika ligi yetu.. wageni wote waliojaa ni grade B player. Ndio maana tunawanunua kutoka gormahia, ud songo etc etc... ushawai ona mchezaji wa kutegemewa wa timu kubwa africa kama mazembe ama mamelodi ananunuliwa na timu ya Tanzania
Huyo jamaa ni mtupu alafu anajidai mjuaji, Horoya imeanzishwa 1975, Simba imeanzishwa miaka ya 1930,
Horoya ina vikombe zaidi ya 30 tokae ianzishwe, na imechukua Africa cup 1978, Horoya ina uwanja wake wenye capacity 25,000.
Hakuna cha Simba wala Yanga wa kuifananisha na Horoya, tuache ushabiki wa kitoto.
Hakunaga bahati ya hivi, wamecheza robo final msimu jana na juzi champions league .. msimu huu wako nusu Final Shirikisho ..Wewe ni muongo.. horoya haina uwanja wake binafsi.. na hata kimalipo na uwekezaji kwa sasa horoya hamzidi simba asset na wala payment za wachezaji.. weka facts kwa ushahid. Umesema horoya ana uwanja.. utaje huo uwanja unaitwaje na uko mji gani tu google ili tuone kama kweli huo uwanja ni mali ya horoya au mali ya nani?
Weka total cost ya horoya players weka na total cost ya simba players.. weka miundombinu ya horoya na ya simba tulinganishe thamani.. weka na total fans pia wa simba na horoya tulinganishe...
Ukweli simba mo dewji amewekeza hela nyingi kwa simba kuliko uwekezaji walioufanya horoya... simba wana wachezaji wa gharama wengi tu ukilinganisha na horoya
Onyango hajlipwa miezi mitano.Onyango anatoka kenya anakuja kama akiwa Mchezaji MVP wa kenya premier league.. Ametoka Gor Mahia sio Ndanda
Huyo mkongoman ndani ya msimu mitatu ana goli 44.. hapo hapo amepata injuries ndefu sana, na kufungiwa juu, na sawa tuseme kapata hizo goli kwenye misimu 2, nitafutie wachezaj wenye hizo data hapa Africa wako wangapi.. usipayuke tu
Hakunaga bahati ya hivi, wamecheza robo final msimu jana na juzi champions league .. msimu huu wako nusu Final Shirikisho ..
usichokijua kuhusu hawa jamaa, uwekezaji unaofanywa na Mo Simba, na pale Horoya unafanya hivyo hivyo, usidhan labda huu ni upepo, na msimu ujao watakuja hivi hiviView attachment 1552160
Ulikuja na Akili zako timamu huku, wapi nimesema hawana uwanja au wana uwanja? wapi nimezungumzia maswala ya uwanja? mimi na ww muongo ni nani?Navyojua mimi horoya hana uwanja wake binafsi mechi zake za nyumbani anachezea uwanja wa taifa wa guinea unaitwa stade 28 September..
Umesema wana uwanja.. nimekwambia wewe muongo weka jina la uwanja umeleta screen shot ya nusu fainali..
Mimi hoja yangu kuhusu horoya na simba ya Mo dewji.. ni kwamba simba inatumia bajeti kubwa kuliko horoya katika gharama za uendeshaji wa timu na pia ina facilities za gharama kubwa kuluko horoya.. nikaweka mfano simba mo arena na hostel zake..
Wewe ukasema horoya wapo vizuri kuliko simba.. weka asset zao na hivyo viwanja vyao tuvione.. maana siku hizi kuna google kupata taarifa za ukweli rahisi
Ulikuja na Akili zako timamu huku, wapi nimesema hawana uwanja au wana uwanja? wapi nimezungumzia maswala ya uwanja? mimi na ww muongo ni nani?
Ni sehemu ya mada zako huko juu kufananisha mafanikio ya Horoya au Simba kama bahati tu .. au sio ww??Hiyo quote uliyojibu kwa kuweka screen shot ulijibu hoja gani.. nenda kaisome hoja uliyoijibu hiyo quote ilihusu nini
Mbona umekazania sana mambo ya uwanja?Navyojua mimi horoya hana uwanja wake binafsi mechi zake za nyumbani anachezea uwanja wa taifa wa guinea unaitwa stade 28 September..
Umesema wana uwanja.. nimekwambia wewe muongo weka jina la uwanja umeleta screen shot ya nusu fainali..
Mimi hoja yangu kuhusu horoya na simba ya Mo dewji.. ni kwamba simba inatumia bajeti kubwa kuliko horoya katika gharama za uendeshaji wa timu na pia ina facilities za gharama kubwa kuluko horoya.. nikaweka mfano simba mo arena na hostel zake..
Wewe ukasema horoya wapo vizuri kuliko simba.. weka asset zao na hivyo viwanja vyao tuvione.. maana siku hizi kuna google kupata taarifa za ukweli rahisi
Mjadala ulianza vizuri kwa kujadili ombwe lililoo kwenye Soka Tanzania ...naona upotolo na mbumbumbu wameingiza na pumba zao!
hii pumba takataka kabisa halafu baada ya hapo mkachukus kombe?Mpira unachezwa uwanjani ilikuwaje simba iliwatoa timu ya afrika kusini iliyokuwa na kipa aliyecheza world cup, ikawatoa zamalek waliokuwa mabingwa watetezi wa afrika, al ahly ya misri walifungwa taifa wakiwa na wachezaji wanaocheza kwa mkopo to EPL
Naona unaonyesha unyani wako na kubweka kama mbwahii pumba takataka kabisa halafu baada ya hapo mkachukus kombe?
nyie ndo mnafanya kina mo na gsm watuone mazuzu na kutufanya mitaji
ok me baba yako nae mbwa piaNaona unaonyesha unyani wako na kubweka kama mbwa
Unatafuta mabwana kinguvungoja nikutumie picha yetu sisi mbwa halafu unioneshe baba yako ni yupi kwenye hiyo picha
ndio uje hata wewe bintiUnatafuta mabwana kinguvu
Kuwa na uwanja sio issue mzee, Timu nyingi za Afrika ya kaskazini mfano All Ahly, Saula hazina viwanja. Huwa zinakodisha viwanja vya Serikali kwa miaka hata kumi(10).Huyo jamaa ni mtupu alafu anajidai mjuaji, Horoya imeanzishwa 1975, Simba imeanzishwa miaka ya 1930,
Horoya ina vikombe zaidi ya 30 tokae ianzishwe, na imechukua Africa cup 1978, Horoya ina uwanja wake wenye capacity 25,000.
Hakuna cha Simba wala Yanga wa kuifananisha na Horoya, tuache ushabiki wa kitoto.
Upo sahihi lengo ni kuwa na 'Power' , power ni ulinzi mkubwa sana katika jamii.ndo maana MO haoni ajabu kusema " magufuli hoyeeeee ". Ili kuilinda nguvu yake kibiashara.Tumekuwa ni wepesi wa kulalamika ila huenda tukawa hatuna elimu ya biashara kwa ujumla.
Kuendesha club kama simba au yanga au azam usifikiri ni fedha ndogo ndugu.
Hapo umetamka habari ya jezi tu, unazungumza vipi kuhusu mambo haya?
1. Kusajili wachezaji eneo la kuvunja mikataba, vilabu vyetu vina fedha ya kufanya hizi sajili?
2. Mishahara ya hawa wachezaji wa kigeni, vyanzo vya mapato vya club vinaweza kulipa mishahara hii?
3. Mishahara ya wafanyakazi je? Hapa kuanzia Administration, Management, Department n.k
4. Hujazungumzia operation costs mbalimbali ndan ya Taasisi, mafuta ya gari, kurepair majengo na vifaa n.k
Kama kuna faida wanapata hawa watu basi tambua kuwa sio kubwa sana kifedha zaidi ya wao wenyewe kujitengenezea jina tu.
TP Mazembe Mose Katumbi angebaki na utajiri wake wa madini miaka ya karibuni wala asingekuwa tishio la siasa Congo.
Ila Brand alotengeneza ndani ya Congo kupitia Club ya TP Mazembe ndio ilimpa umaarufu zaidi.
Manji akaja akawa kiongozi Mbagala. Ushawahi kujiuliza kwanini watu kama Kimei wa CRDB licha ya fedha zote walizonazo lakini wanagombea Ubunge?
Matajiri wangapi wanajiingiza ktk siasa? Sitaki nitoe mifano ya mbali, mtazame Mheshimiwa Abood, Aboos ana shida gani na ela za ubunge? Kila baada ya lisaa limoja gari moja inatoka Dar kwenda Moro, na Moro kwenda Dar.
Kuna Shabiby, kuna akina Nimrod Mkono, Andy Chenge n.k hawa wote wana fedha chafu ila unawaona wanataka nafasi tu ili kujijengea heshima ndani ya jamii au kujibrand mwenyewe na kujitengenezea CV.
Hata huyo Abramovic wa Chelsea, wale Maboss wa Man City, PSG hizi club haziwaingizii fedha nyingi saaaana ila tu wameamua kuwekeza kwa ajili ya kutengeneza nafasi ktk jamii.
Neno power umelitendea haki, nilikosa neno la kuweka ili nieleweke zaidi.Upo sahihi lengo ni kuwa na 'Power' , power ni ulinzi mkubwa sana katika jamii.ndo maana MO haoni ajabu kusema " magufuli hoyeeeee ". Ili kuilinda nguvu yake kibiashara.