Hata Vita na Mazembe wana sajili wachezaji grade C tena kutoka Tanzania, tena wazee, waliochoka, na wameshindwa kuongezewa mikataba, kwa taarifa tu mwaka jana Vita imesajili mchezaji aliye achwa na Simba Zana Coulibaly, na mwaka huu wamesajili mchezaji aliyeachwa na Simba Deo Kanda. Hao Mazembe mwaka jana wamesajili mchezaji aliyeachwa na Azam Hamisi Singano (Mesi)Mwalimu wako shuleni alikuwa na kazi sana.. wapi nimesema ukicheza mazembe unakuwa grade A
Soma comment zangu za nyuma vizuri.. nimeandika timu vigogo africa zina grade A players wengi hasa 1st eleven zao... hakuna sehemu niliyosema wachezaji wote wa timu vigogo ni grade A... mifano ya mazembe nimetaja majina ya wachezaji watatu tu.. sasa wewe unataja timu nzima ya mazembe.. nimemtaja ben malango ambaye aliuzwa sasa hivi yuko raja.. na nikasema timu za tanzania huwezi kuona zinaenda mazembe kumnunua mtu kama ben malango ama muleka.. nikatoa mfano wa samatta jinsi alivyopanda grade.. na nikasema hata alivyofika mazembe alikuwa anatokea benchi mwanzoni . Ila samatta akakaza na akapanda grade akawa anawasumbua.. mifano yangu nimetaja wachezaji bora tupu.. wewe unataja majina ya wachezaji wanaotokea benchi hizo timu kubwa
Nikauliza swali lini umewai kusikia timu kutoka Tanzania imeenda kwa timu kubwa africa na kumsajili mchezaji tegemezi wa hiyo timu kubwa kama raja walivyofanya kwa ben malango... mchezaji akija kucheza tanzania kutoka timu kubwa ni anakuja kwa mkopo ama amechwa kule na timu kubwa hana namba ya kuanza.. hakuna mchezaji grade A wa timu kubwa anaekuja Tanzania kwa kununuliwa maana thamani ya wachezaji grade A wa timu kubwa ni bei juu sana hatuna bajeti hiyo
Timu kubwa pia zina grade b players pia.. ila zinafanya vizuri sabab wana grade A players wengi katika timu zao... huku sisi hatuna grade A players hata mmoja
Hata Vita na Mazembe wana sajili wachezaji grade C tena kutoka Tanzania, tena wazee, waliochoka, na wameshindwa kuongezewa mikataba, kwa taarifa tu mwaka jana Vita imesajili mchezaji aliye achwa na Simba Zana Coulibaly, na mwaka huu wamesajili mchezaji aliyeachwa na Simba Deo Kanda. Hao Mazembe mwaka jana wamesajili mchezaji aliyeachwa na Azam Hamisi Singano (Mesi)
Kwa kuongezea, pale DIT idara ya Building &Civil/Highway Engineering alikua mchezaji tegemeo idarani. Mpambano ulikua mkali kati ya Idara ya Ujenzi na Umeme!Professionally, Hersi ni Structural Engineer, na ni mwajiriwa wa GSM, na ni one from GSM's Top Management Team Members.
Yupo GSM kwa miaka mingi tu na wala sio kwamba yupo pale kwa ajili ya Yanga kama wengine wanavyojaribu kumaanisha!
Anafahamika sasa kama ambavyo wengine wote inavyokuwa pindi wanapoingia kwenye sports industry! Na kufahamika kwake kunatokana na GSM kuonesha nia ya kununua hisa za Yanga kama alivyofanya Mo kwa Simba.
Na kwavile GSM hivi sasa wanahusika moja kwa moja na shughuli za Yanga, ndipo ulionekana umuhimu kama sio ulazima wa kuwepo mwakilishi wa GSM pale Yanga ambae kwa upande huo Hersi mwanzoni alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, na kwa sasa nadhani anahudumu kama Mwenyekiti (or Makamu) wa Kamati ya Usajiri ya Yanga na pia Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko ya Yanga... yaani from 100% Yanga Wanachama to Yanga owned by shares (kampuni).
Shahada yake ya structural engineering amechukulia DIT
Hapana haiko hivyo, mfano yanga jezi ilikuwa inauzwa elfu 35 na Gsm ndio watengenezaji na ni wasambazaji, kwa hiyo kwenye hiyo elfu 35 yanga km yanga walikuwa wanapata karibia elfu 5[na haiwezi kuzid hiyo elfu 5 kwa jezi] sina wakika vzr maana nilishasahu, ukifatilia vzr kwenye huu uzwaji wa jezi vilabu vinapata hela ndogo sana ila viongozi waliosuka ilo dili ndio wanapiga helaNami hapa nina hoja kidogo. tuchukulie mfano mauzo ya jezi za timu kwa msimu ni laki tano (500,000/=). Kwa bei ya sasa jezi moja ni wastani wa elfu thelasini (30,000/=). jumla ya pesa ya mauzo ya jezi ni 500,000 x 30,000=15,000,000,000/=. Uwekezaji wa MO kwa mwaka ni bilioni 3 na mauzo ya jezi kwa msimu mmoja ni bilioni 15.
Wajanja wameona fursa za kupiga pesa kwenye industry ya mpira,cha msingi mashabiki tupate raha tu.
Huyo jamaa ni mtupu alafu anajidai mjuaji, Horoya imeanzishwa 1975, Simba imeanzishwa miaka ya 1930,Usipende kufuatilia mpira vibanda umiza.
Horoya ni timu kubwa kuliko Simba, jua hilo sasa.
HahahahaJeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Asipokuelewa na hapa tafadhaaali sana naomba umuache.Mamakonde alitolewa kwa mkopo mamelodi sababu kuna wachezaji wanaomzidi kiwango wengu.. niambia mchezaji gani wa ligi ya Tanzania timu zote anaweza akaanza katika first eleven ya mamelodi sundown, tp mazembe,waydad, raja, enyimba etc... Tanzania hatuna grade A player katika ligi yetu.. wageni wote waliojaa ni grade B player. Ndio maana tunawanunua kutoka gormahia, ud songo etc etc... ushawai ona mchezaji wa kutegemewa wa timu kubwa africa kama mazembe ama mamelodi ananunuliwa na timu ya Tanzania
Kumbe muda wote nilikuwa naongea na linyani uneducated ndio sababu mgumu kuelewaMwalimu wako shuleni alikuwa na kazi sana.. wapi nimesema ukicheza mazembe unakuwa grade A
Soma comment zangu za nyuma vizuri.. nimeandika timu vigogo africa zina grade A players wengi hasa 1st eleven zao... hakuna sehemu niliyosema wachezaji wote wa timu vigogo ni grade A... mifano ya mazembe nimetaja majina ya wachezaji watatu tu.. sasa wewe unataja timu nzima ya mazembe.. nimemtaja ben malango ambaye aliuzwa sasa hivi yuko raja.. na nikasema timu za tanzania huwezi kuona zinaenda mazembe kumnunua mtu kama ben malango ama muleka.. nikatoa mfano wa samatta jinsi alivyopanda grade.. na nikasema hata alivyofika mazembe alikuwa anatokea benchi mwanzoni . Ila samatta akakaza na akapanda grade akawa anawasumbua.. mifano yangu nimetaja wachezaji bora tupu.. wewe unataja majina ya wachezaji wanaotokea benchi hizo timu kubwa
Nikauliza swali lini umewai kusikia timu kutoka Tanzania imeenda kwa timu kubwa africa na kumsajili mchezaji tegemezi wa hiyo timu kubwa kama raja walivyofanya kwa ben malango... mchezaji akija kucheza tanzania kutoka timu kubwa ni anakuja kwa mkopo ama amechwa kule na timu kubwa hana namba ya kuanza.. hakuna mchezaji grade A wa timu kubwa anaekuja Tanzania kwa kununuliwa maana thamani ya wachezaji grade A wa timu kubwa ni bei juu sana hatuna bajeti hiyo
Timu kubwa pia zina grade b players pia.. ila zinafanya vizuri sabab wana grade A players wengi katika timu zao... huku sisi hatuna grade A players hata mmoja
2011 kama sio 2012 Chelsea ananyanyua ndoo ya UEFA kwa kumuangusha Barca na hatimaye Bayern, kumbuka Bayern na Barca ndo zilikuwa kwenye peak ya hali ya juu saaana.Horoya ina cheap players kuliko simba.. na imefika semi final caf champions league wakati nyingi mmeishia robo... na mwaka huu tena horoya imefika semi final ya caf confederations cup
Zesco ameshafika semi final pia akiwa na cheap player kuliko simba
Ni sawa na lyon kumtoa man city haimaanishi lyon ni club bora yenye wachezaji wazuri kuzidi man city
Ama wolves kumfunga liverpool ama manchester utd haimaanishi wolves ni timu yenye wachezaji wazuri kuzidi liverpool ama man utd
Kuna kitu kinaitwa bahati pia kwenye soka.. simba mlipata hiyo bahati kama waliyoipata horoya ama zesco
Jiulize kwa nini simba kufika robo fainali ni story kubwa huku mazembe na mamelodi wanafika kila msimu kwa miaka kibao
Hizi fedha wanazotumia kusajilia wachezaji, kuandaa siku kama ya kesho, mishahara n.k unataka GSM irudishe kwa namna ipi?Hapana haiko hivyo, mfano yanga jezi ilikuwa inauzwa elfu 35 na Gsm ndio watengenezaji na ni wasambazaji, kwa hiyo kwenye hiyo elfu 35 yanga km yanga walikuwa wanapata karibia elfu 5[na haiwezi kuzid hiyo elfu 5 kwa jezi] sina wakika vzr maana nilishasahu, ukifatilia vzr kwenye huu uzwaji wa jezi vilabu vinapata hela ndogo sana ila viongozi waliosuka ilo dili ndio wanapiga hela
Tumekuwa ni wepesi wa kulalamika ila huenda tukawa hatuna elimu ya biashara kwa ujumla.Nami hapa nina hoja kidogo. tuchukulie mfano mauzo ya jezi za timu kwa msimu ni laki tano (500,000/=). Kwa bei ya sasa jezi moja ni wastani wa elfu thelasini (30,000/=). jumla ya pesa ya mauzo ya jezi ni 500,000 x 30,000=15,000,000,000/=. Uwekezaji wa MO kwa mwaka ni bilioni 3 na mauzo ya jezi kwa msimu mmoja ni bilioni 15.
Wajanja wameona fursa za kupiga pesa kwenye industry ya mpira,cha msingi mashabiki tupate raha tu.
Nilikuwa namjibu jamaa pale juu kuwa hela yote ya jezi inaenda club, kumbe sio kweli,Hizi fedha wanazotumia kusajilia wachezaji, kuandaa siku kama ya kesho, mishahara n.k unataka GSM irudishe kwa namna ipi?
Anhaaa, sawa kaka nimekuelewa.Nilikuwa namjibu jamaa pale juu kuwa hela yote ya jezi inaenda club, kumbe sio kweli,
Kwenye mpira bahati ni asilimia 2 tu.. Vingine vyote ni uwezo. Hao Betis pamoja na kumfunga Madrid Je alichukua kombe la Ligi??Real betis na levante ni timu ndogo sana na hazina quality players kama real madrid.. ila zote hizi levante na betis zimemfunga real madrid hii season.. hapo unataka kusema levante ni timu bora na ina quality players kuliko madrid
Kikosi cha kwanza cha real madrid kina watu bora tupu na hakuna mchezaji hata mmoja wa levante anaweza akapata namba katika kikosi cha kwanza cha real madrid ila bado wamemfunga madrid nje ndani.
Africa kuna timu vigogo na zina grade A players kibao ila sio ajabu kuona hizi timu zinafungwa na timu zenye grade b na grade c player
Ndio maana nikatoa mfano wa horoya ambaye ana cheap player kuliko hata simba ila amefika nusu fainali caf champions league na kisha msimu uliofata kafika nusu fainali tena ya caf confederations.. na horoya ameshamtoa mazembe robo fainali .. hii haimaanishi horoya ina wachezaji wazuri kuliko mazembe.. bahati ipo pia kwenye mpira... simba mlipata bahati ya kuwafunga al ahly ila kiuhalisia sio level yenu ndio maana wao waliwafunga 5 nyinyi mkawafunga 1
Hujui unachozungumzs, uwekezaji na thamani ya ligi ya nchi ulizozitaja unaweza kufananisha na ligi ya Tanzania? Atakua mwekezaji mwendawazu anunue mchezaji wa bl.2 amlipe mshahara wa ml.60 kwa mwezi alafu aje kucheza ligi ya Tanzania na asububiri mechi nne za ligi ya mabingwa.Mpira unachezwa uwanjani ilikuwaje simba iliwatoa timu ya afrika kusini iliyokuwa na kipa aliyecheza world cup, ikawatoa zamalek waliokuwa mabingwa watetezi wa afrika, al ahly ya misri walifungwa taifa wakiwa na wachezaji wanaocheza kwa mkopo to EPL
Mkuu, Dewj ana utajiri wa karibu Trilion 4 huko , billion moja kwake sii kitu kabisa, hapo simba kwa mwaka anatoa pesa yake mfukoni bil 3 kuendesha club,Siasa tu zile upewe 1.2B ukatae
While waweza tafuta mchezaji mzuri kwa 300m..
Sasa mfano kimataifa ile beki ya wawa na onyango..
Kipa manula
Striker ilamfya na magulu???
Maana kagere na boko jua lishazama kimataifa.
Hivi unaelewa ulichozungumza au umeandika ili mradi uonekane umeandikaHujui unachozungumzs, uwekezaji na thamani ya ligi ya nchi ulizozitaja unaweza kufananisha na ligi ya Tanzania? Atakua mwekezaji mwendawazu anunue mchezaji wa bl.2 amlipe mshahara wa ml.60 kwa mwezi alafu aje kucheza ligi ya Tanzania na asububiri mechi nne za ligi ya mabingwa.
Onyango anatoka kenya anakuja kama akiwa Mchezaji MVP wa kenya premier league.. Ametoka Gor Mahia sio NdandaSiasa tu zile upewe 1.2B ukatae
While waweza tafuta mchezaji mzuri kwa 300m..
Sasa mfano kimataifa ile beki ya wawa na onyango..
Kipa manula
Striker ilamfya na magulu???
Maana kagere na boko jua lishazama kimataifa.
Mamelodi kama wangeona hafai wasingeenda FIFA kudai Mchezaji waoTp mazembe wamemuuza jackson muleka ulaya yule dogo aliempiga kanzu pascal wawa taifa. Dogo ana miaka 21 tu na alikuwa mshambuliaji tegemeo wa mazembe ila imekuja ofa wamemuuza
Na mwaka juzi tp mazembe ilimuuza mshambuliaji wake hatari Ben malango kwenda raja casablanca..
Biashara ya mpira ina faida kubwa sana katika kuuza wachezaji.. ndio maana hata timu kubwa africa zinaipenda biashara ya kuuza.. mmakonde miquissone bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi sundown walimuona hana kiwango kwao wakamtoa kwa mkopo then wakamuuza kabisa