MAINJIA wa Tanzania bwana, kipindi nasoma pale mlimani kuna mwaka hao vijana wanaosoma engineering walitengeneza gari walipoliwasha likawa linarudi nyuma kwenda mbele halitaki.......... hahahha
Ndg kama wewe ni Me Uganda usiende kabisa M7 atakufunga. Hivi hapo kinachokuchekesha ni kipi? Hivi kama hao wahandisi walifikia level ya kutengeneza gari badala ya kwenda mbele likarudi nyuma, huoni kwamba walibakiza badogo tu kulifanya liende mbele? Hivi mfumo ungewawezesha leo si tungepunguza kwa kiasi kikubwa kuagiza magari nje ya nchi? Wewe unachecheka tu eti gari lilirudi nyuma?Du sawa kwani nchi hii ni kuchecheka tu lakini Uganda usiende utafungwa!