Engineer anahitajika very Urgent!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
Truebell Industries Ltd.
P.O.BOX
Dar es salaam

Tunafuta Engineer ambaye ana experience juu ya setup ya viwanda (small industries).
tuna project yetu tunataka kufungua kiwanda cha kutengeneza pombe, especially sprits.
Mashine tayari tunayo, tuna shida na engineer kwa ajili ya consultation na setup ya hicho kiwanda.
na tayari tumeshajenga godown kwa ajili ya kufunga hizo machine. kwa malipo tutakayokubaliana!
Please kama unaweza au unamfahamu mtu anayeweza kutusaidia katika hili usisite kunipigia kwa namba hiyo hapo chini.


+255713788956
 
Je mpo tayari kufanya kazi na kampuni ya ukandarasi yenye mhandisi wa kazi hiyo au lazima awe mhandisi pekee yake?
 
Je mpo tayari kufanya kazi na kampuni ya ukandarasi yenye mhandisi wa kazi hiyo au lazima awe mhandisi pekee yake?

Hata Kampuni Yericko, see how you can help! MAANA ENGINEER HAIJALISHI YUKO KWENYE KAMPUNI AU INDIVIDUAL!
 

Poa mkuu ngoja tuone imekaaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…