warzone Member Joined Jan 13, 2023 Posts 66 Reaction score 120 Apr 20, 2026 #1 Habari wakuu,kuna engine ya Toyota crown inauzwa ni 3Gr Haina shida Ina kila kitu ,Boss kabadili Engine kwahiyo hiyo aliyotoa anaiuza
Habari wakuu,kuna engine ya Toyota crown inauzwa ni 3Gr Haina shida Ina kila kitu ,Boss kabadili Engine kwahiyo hiyo aliyotoa anaiuza
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,893 Reaction score 9,796 Apr 21, 2026 #2 Bei na picha malume
Samadebe Senior Member Joined Jul 12, 2018 Posts 134 Reaction score 229 Oct 7, 2026 #3 Sasa haina shida na Boss wako kaibadilisha..! Haya Kazi ni kipimo cha utu