Funga tu ya Rav 4 au gari yeyote inayozungusha difu ya nyuma. Pale kwenye mounting wanafanya modification engine inakaa pamoja na gearbox yake, let say ukifunga engine ya Toyota Hiace ya Petrol ya CC2400, Then kule kwenye properller inayozungusha diffu watafanya modification ziingiliane...