Engine oil ipi nzuri?

shangwe1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
445
348
Mafundi au yoyote mwenye utaalam na hizi gari zetu ndogo naomba kujua oil nzuri ya kutumia kwenye engine....

Mara nyingi huwa natumia hii hapa vip ni nzuri hii.

20201220_131441.jpg
 
Hata mie natumiaga hio,lakeoil, au Caltex 20w50! Kigari changu chakavu kiko mbele kidogo ya SAE40! Enzi zile TID anatoa zeze ndio kilikuwa kinatoka TOYOPET.

Wenye vyombo vya 2008 na kuendelea ndio watumie synthetic oils zile 5w30 au 10w30 wapasuliwe huko 60k and above hapo bado filter.
 
Kwa hiyo mkuu hii vip sio nzuri
 
Hata mie natumiaga hio,lakeoil, au Caltex 20w50! Kigari changu chakavu kiko mbele kidogo ya SAE40! Enzi zile TID anatoa zeze ndio kilikuwa kinatoka TOYOPET.

Wenye vyombo vya 2008 na kuendelea ndio watumie synthetic oils zile 5w30 au 10w30 wapasuliwe huko 60k and above hapo bado filter.
Mbona Altezza pia unatakiwa uweke 5w30 au 5w20(sijawahi kuiona bongo) manual ya gari ndo imeelekeza hivyo
 
Mafundi au yoyote mwenye utaalam na hizi gari zetu ndogo naomba kujua oil nzuri ya kutumia kwenye engine....

Mara nyingi huwa natumia hii hapa vip ni nzuri hii.

View attachment 1655092
kama gari yako ni hizi za kizalendo (ndogo) weka 5w40 kutoka Total - hiyo ni synthetic
unatemebea kms 5000 hivi; pamoja na kuwa wao wameandika kuwa unaweza kutembea hadi kms9000
 
Jana nimeenda kufanya service wameniwekea 20w50 inaweza kuwa na madhara yoyote??
 
Kimsingi sioni madhara ya moja kwa moja ila, itafanya gari iwe nzito kidogo; wakati unaiwasha utaweza kusikia kama inasinsia kidogo ndio iwake pia inaweza kuifanya isichanganye haraka ukiendesha. Hiyo oil ni ya Engine kubwa.
Ili usipate hasara unaweza kuitembelea hata kms 1000 halafu mwaga badilisha oil na filter yake....gari itakuwa mahali yake
 
Asante mkuu nitafanya hivyo
 
Kaka umeongea kitu nimehisi kama gari yangu iliwekwa oil sio. Gari ni rav4 miss Tz ya mwaka 2006 Ukiiwasha kama inajivuta vuta kidogo ndo iwake. Juz kati nikiona kama gia zinachelewa kuingia yaani mpaka niachie mafuta ndiio inaingia nyingine. sijui shida ni nn
 
Kuna uwezekano kabisa ikawa Oil hasa kama tatizo lilianza/liliongezeka baada ya service.
usikubali kupeleka gari service bila kujua ni oil namba ngapi na ya kampuni gani unataka gari yako iwekwe; Labda kwa fundi ambaye amesha jua unachokitaka. mafundi wengi hawana elimu ya oil wao huangalia tu; oil ya Petrol na Oil ya Diezel. Wakati oil za Petrol zipo nyingi na za Diezel pia. Oil ni kitu muhimu sana kwenye gari.....
 
Kuna uwezekano kabisa ikawa Oil hasa kama tatizo lilianza/liliongezeka baada ya service.
usikubali kupeleka gari service bila kujua ni OIL NAMBA NGAPI NA YA KAMPUNI GANI unataka gari yako iwekwe; Labda kwa fundi ambaye amesha jua unachukitaka. mafundi wengi hawana elimu ya oil wao huangalia tu; oil ya Petrol na Oil ya Diezel. Wakati oil za Petrol zipo nyingi na za Diezel pia. Oil ni kitu muhimu sana kwenye gari.....

Sasa mkuu kwa uzoefu wako nahitaji kutumia oil gani na ya kampuni gani kwa gari tajwa
 
Back
Top Bottom