NPL,kwa sababu manaume mara nyingi ndo wana-aproch ingawaje now days wanawake now wamo..., mwanamke akishavaa engagement ring mens wanapunguza speed.
somebody has quoted a book of TOBITH is it a history book,wise sayings book or a religious book?
haipo katika vitabu vyetu 66 vya biblia tulivyonavyo
nifahamisheni wajameni
leo uje geti tugedha uthaminishe kufaa changu!😀Hicho Kitabu kipo kwenye biblia ya Kikatoliki na mimi ninayo hiyo Bible.
Shem leo kuna kitu kimenibana sana.Sijui kama nitamudu.Xpin ataniwakilisha.leo uje geti tugedha uthaminishe kufaa changu!😀
hahaha nani kakwambia wanapunguza ndo wanajifanyisha ooh hivi kwa nini sijakuona ,jamani nani huyo kaniwahi ,mala ooh jamani mrembo nilikuwa wapi siku zote teteteteh nia yake mmmh hata simaliziii......
He! Kumbe bht na nguli mambo flani?Ngoja nim-engage Nguli...akiendeleza bifu na burn namvua pete yangu!!
Dah! Namwonea sana wivu nguli!nauonesha umma am proud of whoever aliyenivisha na nampenda ile mbaya!!!
FL1 unataka na wanaume wavae engagement rings? Mi nachokiona mwanamke anapochumbiwa afu asivalishwe hiyo pete anajiona kama ana nuksi.ndo hapo sometimez mie huwa sioni hata kwa nini sisi tunavaaa
Dah! Namwonea sana wivu nguli!
.
Dah! Mama umenishika pabaya.Kwa nini unamuonea wivu?Huridhiki na ulichonacho? tell me the truth na nilivue pendo sasa hivi.