engaged 2007 and still waiting for a beautiful wedding!!!!!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
nakumbuka mwaka huo huyo binti alinipigia simu kuwa anaparty ya engagement kwao......nilimjibu nipo nyumbani likizo and wished her all th ebest,,,nilishare picha after likzo...

huyu binti ana boyfriend wake toka miaka hiyo wanasoma chuo....na walimaliza 2007.Jamaa akapata kazi mkoani binti akabaki Dsm na anaishi na wazazi wake......

bado yupo na pete ya engagement and looking foward confidently for a wonderful wedding party ambayo kwa mwaka huu haina dalili........binti haonekani kuwa na wasiwasi saaana sijui ameridhika nini ila sometimes she complaints hwapo kwenye good terms na mchumba wake and sometimes its oke....wazee wameongea wamechoka,binti yuko anaaproach 30 this year....nilishindwa cha kumshauri huyu dada...engagement for hardly 7 years?guys!!!!!
 
upuuzi mtupu,anahisi huo ni upepo utapita tu wakati mwenzie huko ukute anakula bata na mtu mwingine hata sipati picha.
 
Miaka yote hiyo wanasubiri nini??hapo akitokea mwenzake wa miezi 6 tu wanafunga ndoa haraka sana
 

eh sii anaendeleza ujinga wa wanawake...wanawake wengi tuu mbona wapo kwenye gf.bf relationship za miaka nenda rudi. hawajui tuu kuwa wanaume wengi wanachukulia bf/gf kama sexmate relationship....its just that we cnt say it to their faces for fear ya kubaniwa papuchi
 

watch your language buddy. Jaribu basi kuwaheshimu hawa dada/mama zetu. Be gentle japo kidogo.
 
I s much better akachanganya akili akaenda huko aliko akajua kinachoendelea.

Nina rafiki yangu alipatwa na same story, alikuwa engaged almost 5 years. Mwaka aliokuwa engaged mchumba akaenda kusoma 4yrs. Ila mwaka wa nne akaanz kuona km vile uchumba unapeperuka, though tulim alert kuwa hashtuki miaka inapita jamaa hana tena ule mshawasha wa kuoa as before but binti alikuwa anamtrust jamaa vibaya sana?

What happenned baada ya jamaa kumaliza chuo akahama kisiri siri bila kumtaarifu wife to be, mawasiliano yakawa poor, binti kuanza kufuatilia kwa wazazi wa jamaa, na kutoa coplain, wazazi wanamwambia mbona mwanetu ametumbia mlishaachana, na mlikubaliana mkavunja uchumba? Hivi tunaanda harusi yako anaoa next month.

She was shocked and frustrated, ilubidi tufanye kazi ya ziada, vinginevyo suicide ingehusika.

Engagement ikishazidi miezi 6 SHTUKAA.
 
Maybe she is pulling a Janet Jackson, you never know these days.

Labda kaona ndoa nyingi zinaishia katika early divorces, mpango mzima ni perpetual engagement, unaletewa maua kedekede kila mara, ukiolewa tu maua yanakauka.

Labda hajaamua kwa uhakika kutokana na wasiwasi anaouona katika relationship, anaipa relationship muda zaidi.

Labda ana.....

Majibu mengi sana.

Lakini kwa nini ni muhimu kujishughulisha sana na maisha ya watu? Kama wako engaged au wameoana?

Wangeoana halafu kuachana baada ya miezi miwili ingekuwa bora kuliko hivi sasa wako katika "engagement" ya miaka?

Kwa nini hatujui kushika hamsini zetu?
 
Achen wajipange bwana ndoa si lelemama.
Nyie mnaomkandia huyo dada wakat wanatafutana mlikuwepo.?
Nyie mliodumu kwenye uchumba 1year/2,3 na kufunga ndoa mbona yashawashinda?
Achen unafik.
Angelilalamika mdada mwenyewe hapo sawa,
mmeanza ln kusemea mioyo ya wanzenu?
Aaagrrr nina hasira!!
 
Au uchumba siku hizi unatakiwa kusoma theolojia na falsafa kama upadre.. Manake upadre ndo unasomewa mda mrefu namna hyo..
 
Haya mambo ya pete ndio yana waponza wanawake wengi! Yani miaka yote una kaa na pete tuu kwa nini?
Lazima hapa mwanamke mwenyewe ni tatizo kabisa!

Na kumbuka nliudhuria sherehe ya rafiki yangu alikuwa anapeleka mahali na siku hiyo hiyo ndio alimvisha pete ya uchumba shemeji na baada ya miezi miwili wakafunga ndoa!hii niliipenda sana!

Alaf haya mapete wanawake wenyewe ndio wanachagua muda wa kukaa nayo kwenye kidole, haiwezekani miaka mitano unashindwa kuuliza hatma yako!

Kwakweli ni jambo la kushangaza sana, haya ni mahaba ya pete tuu!
 
Mmh! Huyo kweli mapenzi yamemtia upofu! Bt Hongera bi dada kwa uamifu wa kuwa na subira ya kuolewa ushauri wangu mimi ni bora umfuate hukohuko alipo ili ujue ni kweli jamaa anania ya kukuoa au ameshapata mwingine huko? Mawasiliano ya kwenye cm hayatoshi kutambua kama mwenzio bado anamtizamo kama wa kwako au la. Umri au simami ndugu na hujui huyo mwenzio atakuoa lini... Uchumba zaidi ya miaka 6 kwa karne hii mmh..! Czani kama ipogo hiyo.
 
Ukisema ...hardly miaka 7... una maana gani?
 
Utapel sio wa Viwanja2 na fedha hta Mapenzi yana utapel...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…