Eng.Mfutakamba ampiga mgombea ngumi za mdomo

Eng.Mfutakamba ampiga mgombea ngumi za mdomo

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,001
Reaction score
134,194
Natonywa kutoka Tabora jimbo la Igalula kuwa Mh.Mfutakamba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igalula Tabora amempiga mgombea mwenzake wa CCM Bwn.Musa Ntimizi ngumi za mdomo.

Inasemekana Mfutakamba kakerwa na fitna zinazofanywa na Bwn.Musa ambaye anatoka familia ya mkongwe Tatu Ntimizi aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo.

Aidha kukwepa aibu ya kipigo hicho Musa amekuwa akikanusha kupigwa ngumi za mdomo na Eng.Mfutakamba.
Musa anasema kuwa kwanza yule ni mjomba wake.
 
Natonywa kutoka Tabora jimbo la Igalula kuwa Mh.Mfutakamba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igalula Tabora amempiga mgombea mwenzake wa CCM Bwn.Musa Ntimizi ngumi za mdomo.Inasemekana Mfutakamba kakerwa na fitna zinazofanywa na Bwn.Musa ambaye anatoka familia ya mkongwe Tatu Ntimizi aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo.Aidha kukwepa aibu ya kipigo hicho Musa amekuwa akikanusha kupigwa ngumi za mdomo na Eng.Mfutakamba.Musa anasema kuwa kwanza yule ni mjomba wake
Mkuu sasa kama mhusika amekanusha wewe unasema umeambiwa kwa nini usiamini kwamba hakupigwa na mjomba wake?

Kama kila mahala ni kupigana pigana basi kuna shida kubwa! Yule wa Ndugai bado anapigania roho yake au kisha tudi kwenye mchakato?
 
mkuu nimebalansi stori,japo ukweli kapigwa
 
Jamani, haya ma'ccm ndo yalipewa maelekezo ya kwenda kufanya show ya masumbwi majimboni? Mnona hatari sana hii?
 
Tatizo hizo sehemu sijui watu wamelala, wanachagua magalasa kila siku, tatu ntimizi kawaacha kama alivyowakuta maana yy anaishi Dar maendeleo ya igalula hakuyajali, leo kawaletea mtoto ambae anapigana na huyo mjomba ake bure kabisa. Wana igalula hebu chepukeni chagueni watu wengine hao waacheni warudi Dar kufanya yao ohooo mtalialia kuliko hata alieitwa ndorobo.
 
wamesahau kama sheria zipo eeh?kuna gereza la uyui tbr eti....
 
Subirini ngumi za Mwandosya na Ja-+kaya akirudi safwarii si kasema alienda Dodoma na jina mfukoni?
 
Taarifa ya uongo hiyo, mm nimemsikia ktk radio VOT asubuhi ya Leo akikanusha, Na amesema yeye ameshawahi kuwa mkuu Wa wilaya Na mkuu Wa wilaya ni mmoja Wa wanausalama hivyo hawezi Fanya hayo, Na amewatupia lawama upinzani kuwa wao ndio wanao sambaza uvumi huo
 
Mkuu sasa kama mhusika amekanusha wewe unasema umeambiwa kwa nini usiamini kwamba hakupigwa na mjomba wake?

Kama kila mahala ni kupigana pigana basi kuna shida kubwa! Yule wa Ndugai bado anapigania roho yake au kisha tudi kwenye mchakato?

Shangaa Na wewe
 
Mbona huu mwaka kuna kesi nyingi za kupigana na chanzo kikiwa ni kuchafuana kwa sera?????
 
Back
Top Bottom