Eng.Mfutakamba ampiga mgombea ngumi za mdomo

Eng.Mfutakamba ampiga mgombea ngumi za mdomo

Natonywa kutoka Tabora jimbo la Igalula kuwa Mh.Mfutakamba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igalula Tabora amempiga mgombea mwenzake wa CCM Bwn.Musa Ntimizi ngumi za mdomo.

Inasemekana Mfutakamba kakerwa na fitna zinazofanywa na Bwn.Musa ambaye anatoka familia ya mkongwe Tatu Ntimizi aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo.

Aidha kukwepa aibu ya kipigo hicho Musa amekuwa akikanusha kupigwa ngumi za mdomo na Eng.Mfutakamba.
Musa anasema kuwa kwanza yule ni mjomba wake.

Angemng'oa meno kabisa ndio angejua mjomba wake yukoje.
 
Mzee wasira,ndugai,kangi na sasa mfutakamba?list ni ndefu nasikia
 
Back
Top Bottom