Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Takwimu hadi kufikia jana

Eng. Hersi mech 1. Goal 1

John Bocco ..mech 17 ...goal 0

Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii

Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana

Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .

Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi

Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og

IMG-20220320-WA0003.jpg
 
Hata mimi enzi hizo nacheza mpira ilipigwa machine moja ikagonga mwamba ikarudi nje ya 18, ule mpira nikakutana nao nilipiga curve moja matata sana kipa aliusindikiza kwa macho tu.

Kitu imo halafu katika hiyo timu yetu mimi nilikua average player tu sikua na maajabu ni dizaini ya wale wachezaji tunaocheza sababu fulani hawezi kucheza. Ila nilifunga goli zuri sana kuliko wale wakina fulani katika mechi muhimu.

Ingawa nilifunga lile goli zuri sana haimaanishi nilikua mchezaji bora kuliko wale ambao hua wanacheza mara kwa mara.
 
Hata mimi enzi hizo nacheza mpira ilipigwa machine moja ikagonga mwamba ikarudi nje ya 18, ule mpira nikakutana nao nilipiga curve moja matata sana kipa aliusindikiza kwa macho tu. Kitu imo halafu katika hiyo timu yetu mimi nilikua average player tu sikua na maajabu ni dizaini ya wale wachezaji tunaocheza sababu fulani hawezi kucheza. Ila nilifunga goli zuri sana kuliko wale wakina fulani katika mechi muhimu.

Ingawa nilifunga lile goli zuri sana haimaanishi nilikua mchezaji bora kuliko wale ambao hua wanacheza mara kwa mara.
Ulifanya mzr mkuu.....lkn tofaut ni kwamba wewe ulipiga shoot moja kwa moja ( uliotea kupiga shoot)

Lkn engineer alipiga vyenga hadi kufunga goli
 
Sio kila timu bali timu zinazojielewa. Timu inayokosa nauli ikiwa inashiriki hayo mashindano au timu nyingine kujali tamasha kuliko mechi ya CAF, timu hizo huwezi kusema zina malengo na CAF.
Timu gan hizo mzee
 
Back
Top Bottom