Eng. Flaviano Sub surface irrigation Design

Subsurface irrigation ni system nzr sana ya kumwagilia

Faida zake
Hutumia maji kidogo kuliko drip mfano drip hutoa 2lph, per Emmiter lkn zile ni porous pipe hutoa 2 litres per m per hour

Huweza kitumika kwa maji ya chumvi

Hufaa zaid kwa mazao kama karoti, Karanga, Kitunguu, na Mengine

Hazifai kwa mazao ya miti hasa miti ya matunda

Zinadumu Sana, kwa sababu hufukiwa chini kama 6inch to 12 inch

Ipo kampuni ya India inaitwa Approtech wanatengeza pipe hizi vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…