Eneo zuri la makazi na biashara Dodoma

Feb 12, 2020
66
84
Ndgu zangu naombeni munisaidie kitu
mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka

Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi
sihitaji uswahilini just kuwe normal tu
 
Kwa sehemu nzuri kwa ajiri ya biashara kwa sasa ni nzuguni, kisasa sheri(lakini ngumu sana kupata kiwanja kwa sasa) pia mnada mpya, chidachi, hizi ni sehemu zinazoendelea sana kwa sasa pia watu Wengi Huko ni washua
 
Mwenye kiwanja kizuri cha biashara Dodoma kilicho kwenye makazi ya watu a.k.a Changanyikeni aweke hapa taarifa zake ili nione namna nitakavyo jilipua kwa mafuta ya petrol 💥♨️. Muhimu tu kisiwe na utapeli ndani yake.
 
Mimi nina eneo liko wilaya ya Bahi, kijiji cha Ibihwa ni nusu eka naliuza kwa sh laki nne tu
 
Huko Bahi utatusamehe tu. Sisi tunataka tubanane pale pale JIJINI.
Kabisa mkuu hapo maeneo ya kuangalia ni mtumba mji wa kiserKali, kikombo ihumwa for the future Lakin kwa sasa ni kisasa, ilazo, nzuguni, ipagala, makuru kuna demand kubwa sana kwa ajiri ya chuo cha udom hayo ni maeneo mazuri sana kwa investment za town.
 
Ndgu zangu naombeni munisaidie kitu
mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka

Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi
sihitaji uswahilini just kuwe normal tu
Mkuu...
Kwanza karibu Dodoma.
Ukifika siombaya ukitembelea mitaa kadhaa, kutana na wenyeji, kuwa mdadisi na hii itakusaidia kuliko kutanguliza tangazo la fedha.
Kama ikikupendeza, ukikuja Dodoma sio mbaya ukinitafuta mimi mzee wa 10% ....
 
Back
Top Bottom