Eneo linauzwa / Mashamba yanauzwa

Eneo linauzwa / Mashamba yanauzwa

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Eneo lenye ukubwa wa Hekari 500 linauzwa. Eneo lipo Kisarawe, Masaki kijijini, eneo lipo along barabara iendayo Msanga/ Maneromango. Ni kilomita 20 ukitokea CHANIKA.
Hekari moja inauzwa shilingi milioni moja (Tsh 1,000,000/=). Kwa mteja ambaye atachukua zaidi ya Hekari 50 bei inaweza ikapungua.

wasiliana nasi kwa namba +255 715 812 862 au +255 716 076 231
 
Back
Top Bottom