Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Kila la kheri wapate mteja
Goba bei imefika sawa na mbezi beach safiiiiikila square mita ni laki 1...100,000 Tsh! Terrible!
300,000,000/3000= 100,000
Picha bas tuone environment ikojeHabari wakuu.
Eneo Linauzwa Goba Half London.
Umbali Hadi barabara kuu ya Lami ni Mita 600
Sqm 3000
Hati Safi (Title Deed)
Bei milion 300
Piga simu 0754693556
Nicheki wasapPicha iko wapi mkuu??
Nichek wasap mkuuPicha bas tuone environment ikoje
Sio kila Tajiri anataka Mali Yake itangazwe mitandaoni Kwa picha.Picha bas tuone environment ikoje
Wakilli nipe sababu ya kutopenda hii maneno.?Sio kila Tajiri anataka Mali Yake itangazwe mitandaoni Kwa picha.
Ndio mana baadhi ya post zangu hazina picha lakini MTU ukihitaji nakutumia wasap au nakupeleka kabisa eneo husika
Ni cheap kwa goba. Kuna mwamba last January lipia porinlake goba, aliuza TZS 150,000 kwa Sq mita na fast lilinunuliwakila square mita ni laki 1...100,000 Tsh! Terrible!
300,000,000/3000= 100,000
Hatari kabisaNi cheap kwa goba. Kuna mwamba last January lipia porinlake goba, aliuza TZS 150,000 kwa Sq mita na fast lilinunuliwa
SURENi cheap kwa goba. Kuna mwamba last January lipia porinlake goba, aliuza TZS 150,000 kwa Sq mita na fast lilinunuliwa
mikoani sqm 1 elfu 7Ni cheap kwa goba. Kuna mwamba last January lipia porinlake goba, aliuza TZS 150,000 kwa Sq mita na fast lilinunuliwa