Eneo linakodishwa Kurasini karibu na puma

Eneo linakodishwa Kurasini karibu na puma

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wadau eneo linakodishwa lipo kurasini karibu na puma sehemu ya kujazia mafuta au magari ya serikali yanapo jazia mafuta eneo linaukubwa wa heka moja pm au 0714787795 Kwa mawasiliano zaidi bei ni USD 4500 kwa mwezi picha zaidi Kwa whatsapp.
 
Attachments

  • 1406289039704.jpg
    1406289039704.jpg
    79.4 KB · Views: 87
Hivi huwa mnatumia vigezo gani kupanga bei?
 
Habari wadau eneo linakodishwa lipo kurasini karibu na puma sehemu ya kujazia mafuta au magari ya serikali yanapo jazia mafuta eneo linaukubwa wa heka moja pm au 0714787795 Kwa mawasiliano zaidi bei ni USD 4500 kwa mwezi picha zaidi Kwa whatsapp.

Mkuu hiyo ni yadi na inaweza kutumika kama gereji!? Kama ndio ina vitu hivi!? Ofisi japo vyumba vitatu, sehemu ya paa la kutengenezea magari ( malori) ie shadow area, malori mangapi yanaweza kuingia!? Na ni fixed price au negotiable!??
 
Na stoo yapatikana hapo usisahau na huduma muhimu kama maji, choo na umeme! Real nahitaji
 
Yes mkuu nyumba zipo mbili ndani ningeweka picha sema ndio zinagoma maji umeme full aisee
 
Bei inazungumzika kwa aliye tayari
 
Bei inazungumzika kwa aliye tayari

Hujanijibu maswali haya mkuu!! 1. Kuna shade ya kutengenezea magari 2. Ukubwa wa eneo 3. Malori ( semi trailer ) ngapi zaweza kuingia. 4. Stoo ipo 5. Huduma muhimu kama maji, vyoo na umeme vp!!???
 
Mkuu ndio maana nikaweka namba ya simu usione uvivu wa kupiga
 
Yes mkuu nyumba zipo mbili ndani ningeweka picha sema ndio zinagoma maji umeme full aisee

picha ni muhimu sana kaka, hiyo picha uliyoweka inaonesha nikiwanja ambacho hakina jengo lolote!
 
Hapo mkuu akuna cha juu Mwenye eneo kasema bei inazungumzika kwa anehitaji
 
Picha mkuu zinazingua ninazo kibao tu
 
Attachments

  • 1406315470920.jpg
    1406315470920.jpg
    51.1 KB · Views: 61
Izo apo
 
Attachments

  • 1406315744081.jpg
    1406315744081.jpg
    59.6 KB · Views: 73
Back
Top Bottom