iCode JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 774 Reaction score 474 Jan 4, 2025 #1 Habari zenu wanajamvi, Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa Eneo liwe hekari tatu na zaidi. Kindly connect me.
Habari zenu wanajamvi, Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa Eneo liwe hekari tatu na zaidi. Kindly connect me.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,646 Reaction score 10,861 Jan 4, 2025 #2 Kila la heri mkuu!