Eneo la ofisi Moshi (Kilimanjaro) linahitajika

Eneo la ofisi Moshi (Kilimanjaro) linahitajika

Joined
Nov 17, 2011
Posts
40
Reaction score
7
Wasalaam WanaJF,
Ninahitaji eneo la kupanga kwa ajili ya ofisi hapo Moshi Mjini;
1. Eneo lenye ukubwa usiopungua mita za mraba 200 (200sqm)
2. Liwe Sakafu ya chini (Ground Floor) - linaweza kuwa nusu FG na nusu floor ya juu
3. Liwe mjini Moshi - sehemu inayoonekana na kufikika kirahisi,

Nitakuwa Moshi Mjini kuanzia Ijumaa (2nd Nov 2012)
Kwa yeyote mwenye msaada wa kunielekeza wapi pa kwenda (mmiliki, dalali, etc) nitashukuru.

Asante
 
Unahitaji kuanzia lini?

Asante,
Ninahitaji eneo hilo wakati wowote sasa ili niweze kuliandaa kwa kuanza kazi rasmi January 2013.
Endapo litakuwa halihitaji matengenezo makubwa (kama yapo), nitapenda zaidi ili ikiwezekana tuingie mkataba mara moja.
Note: Hii itakuwa ni baada ya kuridhika na;
1. Location (eneo husika),
2. Ukubwa wa eneo,
3. Kodi ya eneo, etc

Asante
 
Prjuturuppriokiripkruiipirpliorjpliprlllueioruorkollieumieuioierlpurpdyuretruorooropmoryimr
Lirkmitepmulorokiriromirowrldzjxnsotkiriuruoporuop
Irimirulirur Diutysdhewbw
 
Back
Top Bottom