kumbe ni pazuri sana vp huduma za kijamii zinapatikana ki urahisi?
hapo sijafika lakini nikipata hela nitakwenda tembea sehemu ni nzuri na ina mandhari nzuri
usijali mkuu nadhani pasaka tuna mtoko pia,tulitembelea mapango ya amboni pia...yaaani acha tuoooh! Hongereni sana, haina ubishi kwamba mlifurahia vya kutosha na wala sikujua kama kulikuwa na hiyo safari, next time nitajitahidi kutega sikio kwa umakini nisiachwe nyuma.
Amboni nishawahi kufika pazuri kwakweli, tuombe uzima na mimi niongozane na great thinkers, am sure sitainjoy utalii peke yake pia kubadilishana mawazo mbalimbali hasa jinsi ya kuitoa Nchi yetu katika huu ufukara.usijali mkuu nadhani pasaka tuna mtoko pia,tulitembelea mapango ya amboni pia...yaaani acha tu
Shem Usinikumbushe.Unakumbuka wale wachezaji wa Cricket walivyonichua Mguu pale chini ya gogo beach pale Pangani, nyie nikawaacha mkaenda kuogelea.Dah!Yule kaka sijui nitamuona wapi!
mmh!! yaani baada ya ile massage naona mguu ulitulia tuli na hatimaye msosi wa pale Lodge ukaweza kushuka taratibu...Shem inabidi urudi Pangani aisee, yule mkaka utamkuta tu!!!
Yaani fanya hima, Ukikutana nae mwambie Naugua juu yake.
Namuota kila Uchao na Uchwao.
passport iandaliwe tafadhali......
heeee kumbe mpaka Passport?????!!!! kwani Pangani ipo nje ya mipaka ya Tanzania ?