Eneo la kigamboni hili

vijana wa bavicha mna matatizo sana.

Ungewekewa picha za watu wanapigana ndio ungefurahi!!!
acha ushabiki wa vyama mzee be wise sometime as a man jamani,kila kutu ni ccm,cdm wewe jamaa yuko sahihi kabisa kuuliza so what,sema wewe umeelewa nini kwenye hizo picha na tittle yako hakuna maelezo mtu kabahatika kutembea angani nakupiga picha kaja tupia bila maelezo asiulizwe??? Usitumie nguvu nyingi kwenye ushabiki wanaofaidi ni wakubwa wewe utaishia tu tisheti,kofia na kamnga kwa mama zenu zaidi sana utapata elfu 10 au 50 ya pongezi
 

Akili za bavicha huu ndio mwisho wake...
 
Hii kaulimbiu inawafaa vijana wa bavicha wasiopenda kuona picha nzuri za Kigamboni na wanaofurahia kuona picha za watu wanapigana.
:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:
 

Akili za bavicha hizi...
 
Jengo la utumishi kwa mbali

Bayaaaa
 

Attachments

  • P1010147.JPG
    521.5 KB · Views: 111
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…