Eneo la heka 6 linauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
salam, wanajamii! kuna eneo la heka 6 zinga bagamoyo linauzwa lipo umbali wa mita 800 kutoka barabara ya bagamoyo road eneo halina mgogoro huduma za jamii za maji, barabara na umeme zimefika eneo linafaa kwa shughuli zote za kiuchumi na kijamii pia kama makazi , yard, mifugo n.k eneo haliko kwenye maeneo ya mradi wa EPZ bei yake ni ml 45 vizuri ukajionee mwenyewe kwa mhitaji tuwasiliane 0714104788 au 0714107215
 
Back
Top Bottom