Eneo la heka 2 linauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
habari wanajamii! kuna eneo linauzwa lipo barabarani maeneo ya zinga. eneo lina ukubwa wa heka 2 linalofaa kwa makazi, kilimo au mifugo, huduma za maji na umeme zipo bei yake ni ml.16 tu kwa anayehitaji contact 0714104788 0714107215
 
zinga ipo wilaya ya bagamoyo baada ya kerege kama unaelekea bagamoyo mjini kutoka dar es salaam
 
eneo siyo la serikali ni la mtu binafsi na eneo liko kwenye makazi ya watu ukitaka kuliona piga 0714104788
 
habari wanajamii! kuna eneo linauzwa lipo barabarani maeneo ya zinga. eneo lina ukubwa wa heka 2 linalofaa kwa makazi, kilimo au mifugo, huduma za maji na umeme zipo bei yake ni ml.16 tu kwa anayehitaji contact 0714104788 0714107215

Mkuu unaposema barabarani una maana Bagamoyo road au barabara za mtaa? Nimevutiwa na Tangazo lako
 
yaani eneo lipo mita kama 45 kutoka barabara ya bagamoyo na siyo barabara za mitaa
 
Hayo maeneo yana migogoro sana kua EPZ pale mhindi kachukua lote sisi tutabaki watazamaji tu...kila kitu kinamilikiwa na wageni dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom